Nimeingia na camera mjini nianzie vipi harakati?

Wewe utakua mgumu kuelewa
Sikiliza dogo.
Wewe ingia mjini ukiona wadada wazuri wanavutia...wasifie sana walivyo warembo then waambie hebu kaeni vizuri niwape zawadi...
Piga mipicha ya ya kutisha then waonyeshe.

Wakivutiwa chukua namba zao waambie nikisafisha nawaletea...
Ndio umeanza ajira hivyo
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…