Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sikiliza dogo.Wewe utakua mgumu kuelewa
Wewe ingia mjini ukiona wadada wazuri wanavutia...wasifie sana walivyo warembo then waambie hebu kaeni vizuri niwape zawadi...
Piga mipicha ya ya kutisha then waonyeshe.
Wakivutiwa chukua namba zao waambie nikisafisha nawaletea...
Ndio umeanza ajira hivyo