Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi meno mawese-Baba Levo.
Mzee hakuna kitu kama hicho[emoji23]Hali ngumu ya maisha. Watu hawali wakashiba. Hallucinations kibao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanichukia sana Jei waniJF Mods angalieni mtu mjinga kama huyu kajiunga juzi ana post threads za kijinga mno, mpigeni ban ya maisha.
Ulijisikiaje alipokuwa akimegwa?Nilikua nadhani ni uongo na mambo aya ayapo. Ila asubuhi nimeingia na bado nipo ndani ya mwili wamke wangu pasipo yeye kujijua. Simu hii anayotype jf nj yake ila ameingia kwenye acc yangu na anaandika uzi.
Haya mambo niyakutisha sana na usiombe uyaone kama wewe siyo jasiri.
Namuamuru mimi kipi cha kutype...
Mazingira utakayoyaona ukimuingia mtu;
1. Hali yahewa ni ya ubaridi baridi kwa mbali sana. Sauti atakayoongea muingiliwa ni nyembamba mithili ya mlio wa jokofu likifunguliwa.
2. Chakuka utakachokula ni kile atakachokula muingiliwa.
3. Mwanga upo ni mweupe uliofifia kidogo.
4. Unajisaidia kwenye utumbo wake mpana na kinyesi kinajiunga na chake.
Na mengineyo mengi...
Nb. Unakuwa ulimwengu wa kirogo si kimwili inakuwa ni nafsi yako tu. Si ulimwengu huu wa duniani
Kubwa kuliko nimegundua week iliyopita alini cheat na jamaa. Nimepanga nimuadhiby jamaa huyu
Niombeeni lolote linaweza kutokea jamani... bado nipo nipo nikitoka nitawajulisha.
JF Imekuwa na watu wa ajabu Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanichukia sana Jei wani
Mkuu hii ni sayansi kama zilivyo nyingjne. Ni ujuzi pia.Hapana, ila uache kuandika vitu ambavyo ni unrealistic or fake sana plz.. Unaandika mambo sio sawa, mfano thread moja uliandika umemlazimisha mke wako aende club ili ujue marafiki au michepuko au watu wanaoweza mtongoza, acha haya mambo, i know unasema uongo, ila achana na hadithi za hivyo, zitakuharibu sana.
PumzikaNilikua nadhani ni uongo na mambo aya ayapo. Ila asubuhi nimeingia na bado nipo ndani ya mwili wamke wangu pasipo yeye kujijua. Simu hii anayotype jf nj yake ila ameingia kwenye acc yangu na anaandika uzi.
Haya mambo niyakutisha sana na usiombe uyaone kama wewe siyo jasiri.
Namuamuru mimi kipi cha kutype...
Mazingira utakayoyaona ukimuingia mtu;
1. Hali yahewa ni ya ubaridi baridi kwa mbali sana. Sauti atakayoongea muingiliwa ni nyembamba mithili ya mlio wa jokofu likifunguliwa.
2. Chakuka utakachokula ni kile atakachokula muingiliwa.
3. Mwanga upo ni mweupe uliofifia kidogo.
4. Unajisaidia kwenye utumbo wake mpana na kinyesi kinajiunga na chake.
Na mengineyo mengi...
Nb. Unakuwa ulimwengu wa kirogo si kimwili inakuwa ni nafsi yako tu. Si ulimwengu huu wa duniani
Kubwa kuliko nimegundua week iliyopita alini cheat na jamaa. Nimepanga nimuadhiby jamaa huyu
Niombeeni lolote linaweza kutokea jamani... bado nipo nipo nikitoka nitawajulisha.
Nilikua nadhani ni uongo na mambo aya ayapo. Ila asubuhi nimeingia na bado nipo ndani ya mwili wamke wangu pasipo yeye kujijua. Simu hii anayotype jf nj yake ila ameingia kwenye acc yangu na anaandika uzi.
Haya mambo niyakutisha sana na usiombe uyaone kama wewe siyo jasiri.
Namuamuru mimi kipi cha kutype...
Mazingira utakayoyaona ukimuingia mtu;
1. Hali yahewa ni ya ubaridi baridi kwa mbali sana. Sauti atakayoongea muingiliwa ni nyembamba mithili ya mlio wa jokofu likifunguliwa.
2. Chakuka utakachokula ni kile atakachokula muingiliwa.
3. Mwanga upo ni mweupe uliofifia kidogo.
4. Unajisaidia kwenye utumbo wake mpana na kinyesi kinajiunga na chake.
Na mengineyo mengi...
Nb. Unakuwa ulimwengu wa kirogo si kimwili inakuwa ni nafsi yako tu. Si ulimwengu huu wa duniani
Kubwa kuliko nimegundua week iliyopita alini cheat na jamaa. Nimepanga nimuadhiby jamaa huyu
Niombeeni lolote linaweza kutokea jamani... bado nipo nipo nikitoka nitawajulisha.
Anatuna sisi VIAZIUnatuonaje?