Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulizia saba saba mzee baba, Umekuja mara moja au ndo ushaamia hukuNimeingia Tanga, wapi mahali pazuri pa chakula kiti [emoji91], na bia mbili tatu pia mahali pa kama live band au mziki wa zamani hivi, na pana mambo yetu yalee.
Totoz zipo hapo sabasaba ?Ulizia saba saba mzee baba, Umekuja mara moja au ndo ushaamia huku
Bei zao tafadhaliHuwezi kosa totoz hapo Sabasaba ni sawa na bahari kuishiwa maji!!
Beba pesa za kutosha tu!
Mm sio mteja wao ila wewe utaongea nao tu hamtashindwana!!Bei zao tafadhali
Nisije kupigwa bure tujuzane bei
😂😂😂😂 sawa mkuuu kwa UkumbushoMm sio mteja wao ila wewe utaongea nao tu hamtashindwana!!
Kila la heri kumbuka Ukimwi upo!