Nimeingia Tanga, wadau mpoo?

Nimeingia Tanga, wadau mpoo?

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Nimeingia Tanga, wapi mahali pazuri pa chakula kiti [emoji91], na bia mbili tatu pia mahali pa kama live band au mziki wa zamani hivi, na pana mambo yetu yalee.
 
Nimeingia Tanga, wapi mahali pazuri pa chakula kiti [emoji91], na bia mbili tatu pia mahali pa kama live band au mziki wa zamani hivi, na pana mambo yetu yalee.
Ulizia saba saba mzee baba, Umekuja mara moja au ndo ushaamia huku
 
Huwezi kosa totoz hapo Sabasaba ni sawa na bahari kuishiwa maji!!
Beba pesa za kutosha tu!
 
Kuna mzigo 2 bapa Konyangi bar nipo nayo kwenye bot mh...wanakula bia zao na nguruwe na ugali wanamacho ya wizi wizi mh...
 
Back
Top Bottom