Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Aha kumbe ndio Maana aliniambia nipate Kwanza hiyo TINTIN NI BUREEEEEE....NO SINGLE CENT...
NENDA KWA INCHARGE HAO NI VISHOKA
Sasa umeanza kunifumbua macho mkuu Asante kwa msaadaMalipo yanakuja baadae kadri ya uanavyofanya biashara….TIN NI KITAMBULISHO CHA MLIPA KODI
kirefu chake ni "Tax Identification Number"...(TIN)
TIN NI BUREEEEEE....NO SINGLE CENT...
NENDA KWA INCHARGE HAO NI VISHOKA
Tulia mkuu sijalipa pesa mimi nimeenda kupata mwongozo Kwanza ndio Maana nimekuja humu ndaniUmeliwaaaaa, tukisema rushwa imezidi watu wanakataaa. haya sasa
Nimtulia BlazaTulia mkuu sijalipa pesa mimi nimeenda kupata mwongozo Kwanza ndio Maana nimekuja humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashuruku Sana mkuu nitajitahidi kulifanyia kaziUsiku Wa Shida Hauchelewi Kucha
Ukifika TRA Usikubali Mtu Akupokee Kwa Maneno Laini Nenda Hadi Ndani Ofisini
Hapo Huduma Huanza Taratibu
Hao Makanjanja Wapo Wengi Sana
Mkuu nimekuelewa lakini Leo nilienda kucheki mlolongo wa kupata TIN namba tuWaombe contor number ya kulipia hiyo laki Na nusu, wakikupa tambua hayo Ni Malipo sahihi
Hao BrotherHivi wale jamaa wapiga dili pale LONG ROOM bado wapo..?
Mkuu sidhani kama umenitendea Haki kulingana na uzi wangu ila Anyway shukraniUnalijua lile Tangazo ka TRA kwny TV yule msukuma amepigwa na vishoka sababu ya TIN?
Itakua nawe walikuona wa dizaini hio.
Mara ya pili ukienda chukua smartphone yako ingia kwenye website ya TRA kwenye magazine yao wameweka bango kubwa kuwa TIN BURE so muonyeshe officer hiyo sms..ili ajiassess.Tulia mkuu sijalipa pesa mimi nimeenda kupata mwongozo Kwanza ndio Maana nimekuja humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bossMara ya pili ukienda chukua smartphone yako ingia kwenye website ya TRA kwenye magazine yao wameweka bango kubwa kuwa TIN BURE so muonyeshe officer hiyo sms..ili ajiassess.