2 ..Atakuwa amewakomoa maana wanaoiba ni wao wenyewe1. Weka mlinzi.
2. Omba mafundi walale hapo.
3. Hamia,ujenzi uwe unaendelea ukiwa ndani.
Tafuta mlinzi Masai alinde hawana ghalamaDhaaa
Pembezoni ipi unayoongelea? Funguka ili upate maelekezo sahihiWakuu, site yangu ipo pembeni kabisa ya mji, ambako makazi ya watu ni scattered (mji mpya).
wiki Mbili zilizopita, jirani mmoja ameng'olewa madirisha mawili ya grill ambayo yana siku nne tangu yawekwe.
Juzi jirani mwingine amevunjiwa mlango usiku na kuibiwa vifaa vichache vya ujenzi vilivyobakia.
Mimi nipo hatua ya kuweka madirisha na milango, ila nina hofu kubwa moyoni, nahofia wakiniibia, ikizingatiwa nimezichanga kwa muda mrefu sana kupata hayo madirisha.
Wakuu, mnakabiliana vipi na wizi wa madirisha na milango katika site ambazo ziko pembezoni?
Yaani kukulindia kanyumba kako ndo unapiga picha kitanda changu na kuileta mitandaoni????Site yangu nmeweka mlinzi namlipa 50k kwa mwezi! Nshkuru Mungu mwez wa pili sasa sijaibiwa hata msumari. View attachment 2190431
Atafute mtu kabisa, madirisha yakibandikwa ana lala hapo.Ukishaweka dirisha tafuta mtu wa kukaa humo kwa muda..mana kama kuko scattered wez wanapata urahis zaid wa kuzing'oa
Wakimkaba na kumkill itakua vipeeAtafute mtu kabisa, madirisha yakibandikwa ana lala hapo.
Mimi nipo hatua ya kuweka madirisha na milango, ila nina hofu kubwa moyoni, nahofia wakiniibia, ikizingatiwa nimezichanga kwa muda mrefu sana kupata hayo madirisha.