Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Basi aweke wengi au asubiri watu wahamie kwanza ndiyo aweke madirisha. Kama kuna tatizo la kuuwana wanaweza kumuua hata yeye akihamia.Wakimkaba na kumkill itakua vipee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi aweke wengi au asubiri watu wahamie kwanza ndiyo aweke madirisha. Kama kuna tatizo la kuuwana wanaweza kumuua hata yeye akihamia.Wakimkaba na kumkill itakua vipee
Wakuu, site yangu ipo pembeni kabisa ya mji, ambako makazi ya watu ni scattered (mji mpya).
wiki Mbili zilizopita, jirani mmoja ameng'olewa madirisha mawili ya grill ambayo yana siku nne tangu yawekwe.
Juzi jirani mwingine amevunjiwa mlango usiku na kuibiwa vifaa vichache vya ujenzi vilivyobakia.
Mimi nipo hatua ya kuweka madirisha na milango, ila nina hofu kubwa moyoni, nahofia wakiniibia, ikizingatiwa nimezichanga kwa muda mrefu sana kupata hayo madirisha.
Wakuu, mnakabiliana vipi na wizi wa madirisha na milango katika site ambazo ziko pembezoni?
Tulisha weka mlinzi, siku mmoja tukakuta mlinzi hayupo na vifaa including machuma ya dirishani havipo. Mlinzi hakupatikana tenaWakuu, site yangu ipo pembeni kabisa ya mji, ambako makazi ya watu ni scattered (mji mpya).
wiki Mbili zilizopita, jirani mmoja ameng'olewa madirisha mawili ya grill ambayo yana siku nne tangu yawekwe.
Juzi jirani mwingine amevunjiwa mlango usiku na kuibiwa vifaa vichache vya ujenzi vilivyobakia.
Mimi nipo hatua ya kuweka madirisha na milango, ila nina hofu kubwa moyoni, nahofia wakiniibia, ikizingatiwa nimezichanga kwa muda mrefu sana kupata hayo madirisha.
Wakuu, mnakabiliana vipi na wizi wa madirisha na milango katika site ambazo ziko pembezoni?
Pole sana kwa hofu. Mm kwa ushauri wangu siku unaweka firisha piga na plasta koplo ili isionekane ni wapi walitindua ili kufitisha.Wakuu, site yangu ipo pembeni kabisa ya mji, ambako makazi ya watu ni scattered (mji mpya).
wiki Mbili zilizopita, jirani mmoja ameng'olewa madirisha mawili ya grill ambayo yana siku nne tangu yawekwe.
Juzi jirani mwingine amevunjiwa mlango usiku na kuibiwa vifaa vichache vya ujenzi vilivyobakia.
Mimi nipo hatua ya kuweka madirisha na milango, ila nina hofu kubwa moyoni, nahofia wakiniibia, ikizingatiwa nimezichanga kwa muda mrefu sana kupata hayo madirisha.
Wakuu, mnakabiliana vipi na wizi wa madirisha na milango katika site ambazo ziko pembezoni?
Wengine nasikia ukifanya hivyo wanakupuliza nyumba inakua haimaliziki, yani pesa unapata Ila wazo lakuimalizia haliji! miaka inasogea wao wanaishi bure tu.Mie nimejenga sehemu nyingi hapa jijini DSM. Nyumba ikishafikia level za grill na milango tafuta mtu akae. Mwekee wavu wa mbu na choo temporary.
Pia ni vizuri ukaweka mtu mwenye mke ili iwe ngumu kutoroka
Watu wengi mjini hawana kodi za kulipa hata chumba kimoja. Ukiwapa makazi na hela kidogo ya ulinzi utaokoa mali zako dhidi ya wizi
Hizo story tu. Utasahau vipi nyumba ambayo umeweka fundi mkuu anakushauri. Ndugu jamaa na marafiki pamoja na familia yako wote hao hawajui kuhusu site? Mtu kafulia anasingizia wamakonde. Ukiwa na mawazo hayo hutoboiWengine nasikia ukifanya hivyo wanakupuliza nyumba inakua haimaliziki, yani pesa unapata Ila wazo lakuimalizia haliji! miaka inasogea wao wanaishi bure tu.
Kuna story ya mtu kusahau nyumba yake ilipo kisa kamweka mmakonde amlindie!!
Ahahahahah2 ..Atakuwa amewakomoa maana wanaoiba ni wao wenyewe