Nimeipata sehemu but sina hakika

Nimeipata sehemu but sina hakika

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
kuna sehemu nimesoma ushuhuda wa jamaa mmoja aliyefanya mapenzi na wathirika kwa miaka 2 bila yeye kutambua alipogundua na kwenda kucheki lakini jamaa hakuwa hata na chembe moja ya HIV NI KWELI?
 
Nyota ya mwenzio usiilalie mlango wazi.

Tumia kinga wakati wote mkuu.
 
kuna sehemu nimesoma ushuhuda wa jamaa mmoja aliyefanya mapenzi na wathirika kwa miaka 2 bila yeye kutambua alipogundua na kwenda kucheki lakini jamaa hakuwa hata na chembe moja ya HIV NI KWELI?

Nenda kapime, acha kujipa matumaini yasiyo na mashiko.
Usisafirie nyota ya mwenzako.
 
Back
Top Bottom