Nimeipenda hii gari aina ya bajaji qute; nitaipataje, kwa bei gani na ubora wake ukoje?

Nimeipenda hii gari aina ya bajaji qute; nitaipataje, kwa bei gani na ubora wake ukoje?

Hii ni piki piki mbadala wa bajaji hizi za miguu mitatu, hii nzuri kibiashara hata kuendea kazini bado poa kabisa
 
Sikushauri kabisa.. Bei yake haina tofauti na carina Ti used
uwe unasoma kwanza usijibu kwa matakwa yako...ni Sawa mtu atake nunua ist for economy then umwambie haumshauri coz bei yake ni Sawa na brevis....

huon Carina inakula mafuta as twice as hicho kigari??
 
Back
Top Bottom