Hii code sikuisoma kabisaššHiyo ni ya deni la mama lililotumika kuijenga Zanzibar
Hujitambui! Ukipata watoto na wajukuu utaanza kujitambuaOktoba tunatiki kwa mama.
Unstick nini wakati uchaguzi haupo. Mother anaomba ateuliwe tuOktoba tunatiki kwa mama.
Hapa ndugu yangu hatujafikis huko. Ngoja tuendelee tu uoga wetu kwanza wasije wakakupoteza.Sawasawa moja ikae mbele hiyo ikae ubavaniš
Brother ujumbe umefika naona wengi wanacoment tu Ila hawajaelewa lugha uliotumiaTuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford rapture ya kijani full body..
Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH.. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hiliView attachment 3376694
Mama yaka aliyepo Kondoa anagombea nini?Oktoba tunatiki kwa mama.