Unagombea kupitia jimbo gani MkuuTuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body..
Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hili
View attachment 3376694
Jamii inayojitambuaPanazidi kuchangamka
Atalilipa yeye na ukoo wakeHiyo ni ya deni la mama lililotumika kuijenga Zanzibar
Kabadili rangi ya gari maana hiyo imekaa kikampeni🤣Aah mkuu sitaki stress mimi
107 itapendezaTuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body..
Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hili
Sema ukipata lile F-150 alafu liwe raptor na V8 engine ni unyama sana. Likekaa kiume sanaZote ni line ya Raptor iwe hiyo ya USA au kwingineko..sema za USA nyingi zinakua V 8 body kubwa na Suspension tofauti na hizi Raptor ambazo sio F 150...
Maisha ni Safari Ishi upendavyo pasi na kuvunja Sheria za nchi,Safi kabisa!Tuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body..
Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hili
View attachment 3376694
Hiyo iache hivyohivyo maana inaendana na plate number take special😀
Sawa lakini Ford ni gari upate yeyote ile mazee hiyo 2.2 diesel Limited unatumia mafuta kutoka Arusha mpaka Daslm hayazidi laki na balance ipo ila iwe kuanzia 2017 kuendelea..Sema ukipata lile F-150 alafu liwe raptor na V8 engine ni unyama sana. Likekaa kiume sana
Ukiwa mwana jamuhuri wa watu wa JamiiForums na Hina hata gari la mtandaoni basic Wewe nii mtu mfu kiuchumi mtandaoTuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni