Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
DP World wananunua na matackle nenda kauzeWananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?
Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.
Nikiipata aiseee
basi wewe ni kichaa, maana una tamaa ambayo haitokani na akili zakoWananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?
Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.
Nikiipata aiseee
Picha😂😂 Sasa kama huna hata mia sijui itakuajeWananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?
Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.
Nikiipata aiseee
Ungeweka picha yake..! Unaweza pata akina Bill lugano humu akakununulia kesho..JF humu wote wana mikwanja hata wanao kaa kwa shemeji zaoWananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?
Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.
Nikiipata aiseee
Anunue bandari ya Jemima 😁Unataka umfanye nini
ampake mafuta.Unataka umfanye nini
Kina Msukuma wameuza yao wamepata magari ya Mil. 400🤣🤣🤣🤣DP World wananunua na matackle nenda kauze