Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Endelea kudangaWananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?
Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia ina bwawa la samaki na sehemu ya kuweka mabanda ya kuku.
Nikiipata aiseee