Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

Unamkumbuka marehemu wa "900 itapendeza" Japo hakufanikiwa kupata lile ghorofa

ila na wewe pita na ile idea yake cheza na madalali,usipoinunua wewe basi hata jipendekeze

uwe gardener wa mnunuzi,huwezi Jua anaweza Akafariki ghafla kwa presha jumba likawa lako mtunza bustani.
 
Wew Dume ndani ya I'd ya kike Shenzi Sana
 
Nyumba yenye swimming pool kabisa iuzwe 150m? Labda kama vyote nyumba yenyewe na swimming pool havijakamilika!
 
Hivi figo moja huwa bei gani, manake nishauchoka umasikini na figo ni mali yangu
Hahaha mkuu kwa rocumentary nilizotazama dalali ndiye anakula pesa ndefu zaidi wewe unaweza kuambulia kati ya dolar 7000 hadi 30000 kutegemea na afya yako na dalali uliyempata kama ni kausha damu au si kausha damu. Kama wewe ni mlevo, unavuta sigara, umechoka sana bei inapungua au halifai kwa matumizi ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndogo sana
 
Bora Mwarabu aendelee kununua bandari.
Watanzania ni wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…