Nimeishiwa nguvu na nimekuwa Mtu mwenye kukata tamaa kwa Mkasa ulionikuta

Sasa nakosaje wakati mimi ndio baba yako, kila siku nakuambia una adabu ndogo kama wajomba zako....☹️ ebu kwanza kakojoe ukalale, nisikuone hapa...🤨
Na wanna kutafuta kinyama😂🤣, siku ukienda wanna kunyoa nywele kwa chupaa😂🤣
 
Mungu kakusaidia,nenda katoe sadaka ya shukrani,ulitaka ukumbatie mzinga wa nyuki,achana na mpango huo wa ndoa...KATAA NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…