Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 547 Reaction score 892 Jun 16, 2026 #1 Rashford ni mchezaji wa kiwango cha juu sana. Mchambuzi huyu wa clouds tafadhali hii irudie watu waisikie kuhusu Rashid wa man united
Rashford ni mchezaji wa kiwango cha juu sana. Mchambuzi huyu wa clouds tafadhali hii irudie watu waisikie kuhusu Rashid wa man united
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,264 Reaction score 6,148 Jun 17, 2026 #2 ...jamani...🤔
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,431 Reaction score 31,527 Jun 17, 2026 #3 Goguryeo said: ...jamani...🤔 Click to expand... Utakuwa umejiuliza maswali kama elfu moja kuhusu mtoa mada na mada yenyewe. Mwisho wa siku ukaona mtoa mada ni mjinga wa kiwango zege, au sio ndugu?
Goguryeo said: ...jamani...🤔 Click to expand... Utakuwa umejiuliza maswali kama elfu moja kuhusu mtoa mada na mada yenyewe. Mwisho wa siku ukaona mtoa mada ni mjinga wa kiwango zege, au sio ndugu?
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,264 Reaction score 6,148 Jun 17, 2026 #4 TAI DUME said: Utakuwa umejiuliza maswali kama elfu moja kuhusu mtoa mada na mada yenyewe. Mwisho wa siku ukaona mtoa mada ni mjinga wa kiwango zege, au sio ndugu? Click to expand... Sijui ... Sielewi... Sifahamu.... Sidhani........ Sihivyo........
TAI DUME said: Utakuwa umejiuliza maswali kama elfu moja kuhusu mtoa mada na mada yenyewe. Mwisho wa siku ukaona mtoa mada ni mjinga wa kiwango zege, au sio ndugu? Click to expand... Sijui ... Sielewi... Sifahamu.... Sidhani........ Sihivyo........