Nimeisoma, Nimeielewa, Sitaipigia Kura

Nimeisoma, Nimeielewa, Sitaipigia Kura

Winston Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
340
Reaction score
117
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.

Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.

Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
 
Hata mi nimeisoma,haifai kabisa kwa karne hii.Tisipoteze muda na fedha ambazo zingetumika sehemu zingine zenyeanufaa kwa jamii
 
Cjaisoma ciipendi wala cpigii kula nikipa hapana wanaigeza inakuwa ndio
 
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.

Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.

Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura

Katiba Inayopendekezwa imebakiza asilimia 75 ya maudhui yaliyokuwa kwenye Rasimu ya Warioba na Rasimu ile ilitokana na maoni ya wananchi Tanzania Nzima...usitake kuwatukana watanzania kwa ujinga uliokuwa nao wewe.. na usitake kusambaza chuki kuongea maneno bila fact....
 
Pia ni vzr kuuliza naishi wp ww inamaana hata katoriki wanposema kura ya maoni isubili baadae na wao.......
 
wewe mjinga kabisa kwa maana nani kakuambia asiyepiga kura anakataa katiba?

anayekataa katiba ni yule tu aliyepiga kura ya hapana lakini asiyepiga kura anakubali kile wengi watakachoamua. kama wengi wataikataa basi yeye kutopiga kura kwake kaikataa kama wengi wameikubali basi na yeye kutokupiga kura kwake ameikubali.

asiyepiga kura kwa maneno mengine hana maamuzi bali anategemea wengine walichoamua.

Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.

Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.

Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
 
Habar wakuu ,naomba mwenye kopi ya hii katiba pendekezwa anipe tafadhali.natanguliza shukrani
 
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.

Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.

Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura

usipoenda kupiga kura ndo wanashinda kwa kupitisha maana wewe umesoma umeelewa ....ila wengine hata kusoma hawajasoma wataenda kwa mkumbo kupiga kura ya kukubali....solution jiandikishe alafu piga kura ya No..usipopiga kura ndo utahiaribu hiyo nchi yako kama unavyosema.....
 
ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.

Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.

Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura

ushindwe na ulegee, hujaisoma ndo mana umekurupuka kusema hayo, khaaaa yani hata ukiambiwa kula kinyesi we utakula eeenh!! Tumia akili wewe coz hiyo inayoipinga itakujali katika sekta zote.
 
Tatizo sio kilichomo kwenye katiba wanayopendekeza, bali kilichoondolewa
 
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.

Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.

Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura

kutokupiga kura kabisa ni upuuzi, piga kura ikatae nakuomba wataarifu na wengine wakapige kua ya NO.
 
Kura yangu ni HAPANA

Msingida jitambue! Tambua jukumu lako, Kazi yako kama Mtanzania baada ya Bunge Maalum kukamilisha jukumu lake kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011, Bunge hilo lilikamilisha kazi ya KATIBA INAYOPENDEKEZWA. Hatua inayofuata ni ya wananchi kuipigia kura Katiba hiyo. Kwa kuwa nawe ni Raia wa Tanzania, nawe ni miongoni mwa wananchi ambao ndiyo wenye uamuzi na kauli ya mwisho juu ya upatikanaji wa Katiba Mpya. Hivyo jiandikishe na ukapige kura muda ukifika. Tumia haki yako ya kikatiba.
 
Back
Top Bottom