Winston Mtanzania
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 340
- 117
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
huna hoja na hujui wajibu wako kama raia wa tanzaniaCjaisoma ciipendi wala cpigii kula nikipa hapana wanaigeza inakuwa ndio
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
ushindwe na ulegee, hujaisoma ndo mana umekurupuka kusema hayo, khaaaa yani hata ukiambiwa kula kinyesi we utakula eeenh!! Tumia akili wewe coz hiyo inayoipinga itakujali katika sekta zote.
Habar wakuu ,naomba mwenye kopi ya hii katiba pendekezwa anipe tafadhali.natanguliza shukrani
Kutoipigia kura ni tofauti na kuipigia kura ya HAPANA. Kwa ufupi, wale WANAOTAKA IPITE WANAFURAHI SANA wakisikia kuwa wale wasiotaka ipite HAWATAENDA KUPIGA KURA !Nimeisoma, Nimeielewa, Sitaipigia Kura.Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie shughuli zingine siku ya tarehe ya kura
Habar wakuu ,naomba mwenye kopi ya hii katiba pendekezwa anipe tafadhali.natanguliza shukrani
Kura yangu ni HAPANA