Nimeitafuta sana hii hali kwa Mzungu mpaka leo siijaiona ila kwa Mwafrika Mtanzania nakutana nayo kila baada ya Sekunde na Dakika

Nimeitafuta sana hii hali kwa Mzungu mpaka leo siijaiona ila kwa Mwafrika Mtanzania nakutana nayo kila baada ya Sekunde na Dakika

Kadri siku zinavyokwenda hali hiyo itaisha. Ni ulimbukeni tu ambao ni suala la muda.
 
inategemea na uliokutana nao....wengi sana wanajisifu tena kuwazidi wahaya....unakuta mpo bar anaanza kuleta mada za kujisifia shule aliyonayo. ..
 
uliokutana nao umepata bahati nzuri, ila wengi wao wanasifa sana
 
Inaboa sana yaani hata kama ukifika kwa ndugu mfano kusalimia lazima uulizwe unasomea nn au vipi masomo yako yanaenda sawa,unakazana kusoma lakini??....too much aisee uko sawa kabisa.
 
Kwahiyo wewe,wazungu ndio umeona ni point of reference to smartness and perfection?

kwani ni lazima anachofanya mzungu kifanywe na jamii zote? yaani mtu akiwa tofauti na afanyavyo mzungu anakua amepotea? au anakua unafanya kitu ambacho sio sahihi?

Umejidharau sana aisee,

Acha kua na fikra za kitumwa.
Mgumu kuelewa ww mtu.
 
Umenena vyema kabisa...

Wazungu na watu waliyotoka kwenye first world countries siyo watu wakuji proud kabisa kuhusu viwango vya elimu zao...

Hufanya hivyo pale inapobidi tuu... sisi wAfrica sasa, kidogo tuu utasikia sisi wenye certifcate au dipolma au degree hivi mara vile mar hiv na hivi...



Cc: mahondaw
 
Wale ni wazungu sisi ni Waafrika,Sio kila wanachofanya wazungu nasisi tufanye,Au wasichofanya nasisi tusifanye
 
Kwani wao ni kina nani mkuu hadi tuwafate?tunamaisha yetu na wao wana yakwao.
 
Tatizo lako umekutana na wazungu wawili tayari umejumuisha wote. Usipende kujenerolaizi mkuu..
 
Watu wanasoma kwa shida! Kwa hiyo wakipata nafasi ya kujisifia wanajisifia haswaaa! Unafikiri kusoma mchezoeeee
 
Back
Top Bottom