GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Mgumu kuelewa ww mtu.Kwahiyo wewe,wazungu ndio umeona ni point of reference to smartness and perfection?
kwani ni lazima anachofanya mzungu kifanywe na jamii zote? yaani mtu akiwa tofauti na afanyavyo mzungu anakua amepotea? au anakua unafanya kitu ambacho sio sahihi?
Umejidharau sana aisee,
Acha kua na fikra za kitumwa.
Umetokea wap ww au facebook??soma na wewe ujitambe sisi ni waafrika kwani lazima tuishi kama wazungu.
Anagongwa na wazungu huyo ndio wanaomuweka mjini
Dah...kutoka Mwanzs gadi Bukobs ni umbals wa yard nhapi?[emoji56]Mimi nimesoma chuo na nina degree yangu na Nina uelewa mpana sana nakaribisha maswali
Je ccm ni baba yako na mama yako???Mimi nimesoma chuo na nina degree yangu na Nina uelewa mpana sana nakaribisha maswali
Kwakua nimetoa maoni yanayopingana na mawazo yako? unataka watu wote tuwaze sawa?!Mgumu kuelewa ww mtu.
Nakazia hapa.Wewe kilaza hali hiyo hao wazungu waliipitia kipindi Cha mediaval time kwenye historia ya maendeleo yao. Fanya research kwanza ndio uje hapa Shwain