Nimeitazama hii video ya Hayati Reginald Mengi ni tajiri aliyekuwa na Uzalendo na Uchungu na Taifa hili tofauti na wengine wanaotumika kuhujumu Nchi


Sema Serikali ya CCM ilikua na uadui kwa muda mrefu na Wafanyabiashara wazawa.
Mfano na ilipambana nao vilivyo .

Hata azimio la Zanzibar liliwanufaisha zaidi matajiri kutoka nje ya Tanganyika na mali zote za umma wakapewa wageni ikiwemo Kilimanjaro Hotel aliyotaka kuinunua Mengi wakamuomba Rushwa ya mil 500 akakataa .
Wakasema hana uwezo wa kuinunua . Hotel ikachukuliwa na wageni.
Makampuni mengi ya umma yalichukuliwa na wageni wakayaua kwa sababu waliyanunua kwa rushwa .
 
hakuna mfanya biashara mkubwa eti akawa mzalendo kwenye mfumo wa market economy, huyu alizidiwa kete tu
 
Tuna viongozi wa hovyo sn watakatishaji fedha za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…