Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
R. AZIZ kila List yupo ila sijawah kusikia kama hata Kushtakiwa tu.
Jamaa anajua kula na kipofu acha wale Nchi iliyojaa wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R. AZIZ kila List yupo ila sijawah kusikia kama hata Kushtakiwa tu.
Jamaa anajua kula na kipofu acha wale Nchi iliyojaa wajinga
Shamba la Bibi watu hujipigia pesa tu
Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida.
Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa linahujumiwa na baadhi ya Viongozi wachache kwa kushirikiana na Wafanyabiashara wa wenye asili ya kigeni.unaweza kusema labda Mengi hakupenda kushiriki katika kuhujumu rasilimali za Nchi yake kwani nafasi hiyo alikuwa nayo.
Mungu ampe pumziko lenye amani
hakuna mfanya biashara mkubwa eti akawa mzalendo kwenye mfumo wa market economy, huyu alizidiwa kete tuHii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida.
Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa linahujumiwa na baadhi ya Viongozi wachache kwa kushirikiana na Wafanyabiashara wa wenye asili ya kigeni.unaweza kusema labda Mengi hakupenda kushiriki katika kuhujumu rasilimali za Nchi yake kwani nafasi hiyo alikuwa nayo.
Mungu ampe pumziko lenye amani
Kila mtu atapitaLeo hii Mengi na Manji hawapo duniani .
Tuna viongozi wa hovyo sn watakatishaji fedha za ummaSema Serikali ya CCM ilikua na uadui kwa muda mrefu na Wafanyabiashara wazawa.
Mfano na ilipambana nao vilivyo .
Hata azimio la Zanzibar liliwanufaisha zaidi matajiri kutoka nje ya Tanganyika na mali zote za umma wakapewa wageni ikiwemo Kilimanjaro Hotel aliyotaka kuinunua Mengi wakamuomba Rushwa ya mil 500 akakataa .
Wakasema hana uwezo wa kuinunua . Hotel ikachukuliwa na wageni.
Makampuni mengi ya umma yalichukuliwa na wageni wakayaua kwa sababu waliyanunua kwa rushwa .