Kama ulikuwa hujui pete ya uchumba huwa ina laana,yaani hapo maana yake umejitoa thamani,kila mtu atakuona kama takataka la kwenye hilo dampo ulioitupa.SUBIRI MAJIBU YAKE SASA.

wanawake sio wengi kama data zinavyosema na hii ndio inafanya wanaume kujiona wanathamani but angalia age group ya 45 and above utaona wanawake wengi ni wajane lakini si kwamba hawakuwa na waume ila walikufa. ukiwahesabu wanawake wote regardless their age utawaona ni wengi kwa kuwa wengi wanaishi maisha marefu. Mungu wetu si mjinga kuumba vitu unproportion but circumtances zinafanya wanaume kufa mapema

am single

umesahau kuwa shule ya msingi wavulana wanakuwa wachache kuliko girls? Nimesoma shule iliyo mjini tulikuw 40 na girls walikuwa 53.na shule ya jirani girls walikuwa wengi. Ina maana huku nako wengine wamekufa

na mimi nimesoma darasa la boys 36 na girls 4 tu na hapo utasemaje?

Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
am single

du wewe umesoma shule ya boys!
nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.