Nimeitupa engagement ring dampo

Nimeitupa engagement ring dampo

mwambie akaiokote bhana kama kweli ni ya thamani mi nikaiuze kama yeye hataki kuiuza.

Kama vipi we mpm aniambie alikoitupia mi nikaitafute.

dampo takataka kbao utaionea wap,

Kama ulikuwa hujui pete ya uchumba huwa ina laana,yaani hapo maana yake umejitoa thamani,kila mtu atakuona kama takataka la kwenye hilo dampo ulioitupa.SUBIRI MAJIBU YAKE SASA.

amesahau kwamba peak yao inaishia 30 yrz!

wanawake sio wengi kama data zinavyosema na hii ndio inafanya wanaume kujiona wanathamani but angalia age group ya 45 and above utaona wanawake wengi ni wajane lakini si kwamba hawakuwa na waume ila walikufa. ukiwahesabu wanawake wote regardless their age utawaona ni wengi kwa kuwa wengi wanaishi maisha marefu. Mungu wetu si mjinga kuumba vitu unproportion but circumtances zinafanya wanaume kufa mapema

umesahau kuwa shule ya msingi wavulana wanakuwa wachache kuliko girls? Nimesoma shule iliyo mjini tulikuw 40 na girls walikuwa 53.na shule ya jirani girls walikuwa wengi. Ina maana huku nako wengine wamekufa

umesahau kuwa shule ya msingi wavulana wanakuwa wachache kuliko girls? Nimesoma shule iliyo mjini tulikuw 40 na girls walikuwa 53.na shule ya jirani girls walikuwa wengi. Ina maana huku nako wengine wamekufa

na mimi nimesoma darasa la boys 36 na girls 4 tu na hapo utasemaje?

Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

hizi personal ishu zako hazituhusu hata kidogo,cd wee

Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

Maudhi? Wenzako wanapata mateso na bado wanaendelea na game! Maisha ya ndoa ambayo ndo ulikua unaelekea yamejaa tabu mateso na kero kibao na chembe ndogo za furaha na wavumilivu husheherekea miaka 25 ya ndoa kanisani, na wenye hasira huishia kama wewe

angalia tabia mbaya hiyo na ujue tabia haina dawa na kwa wengine utafanya hivyo kama vipi umsamehe tu.

Wewe ni "MPUMBAVU", ukitaka kujua nini maana ya kile nilichokuita soma MITHALI jibu lako liko huko.

Kwahiyo unasemaje?Kwanza hujatulia!ungemuua bure jamaa yetu !Na yule mshikaji niliekuona nae ukawa unajichekesha umemuacha!umeachwa usijishebedue!

nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

vaislay nahisi kujua mpenzi kama mwanandoa ama mpenzi gfriend ili nijue nikushaurije dear maana sikuhizi penzi liko kabla na baada

Back
Top Bottom