Ukisoma sana utafeli pia wewe kama unajua unajua tu! Kama hujui hujui tu! Maswali ya utumishi yanapima uelewa sio kukariri! Angalia sehemu unapoenda kufanya kazi hiyo kama utafaulu au taasisi iliyokuita ina majukumu gani au inajishugulisha na nini kwenye eneo hilo! Soma hivyo tu! Usijichosheunamaanisha kwamba unaweza ukasoma basics zote za networking, ukajiandaa haswa, alafu kwenye written interview tu ukapigwa chini? au sijaelewa mkuu, maana katika pita pita zangu kuna mtu alisema kweli interview hazitabiriki ndo maana unatakiwa usome kila kitu cha networking