Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

Kama wewe ndo mara ya kwanza ya kuhudhuria saili za namna hiyo ujue una 10% ya kufaulu usaili huo! Saili za utumishi hazitabiriki ila zinahitaji uzoefu pia kuzifaulu
 
Ukisoma sana utafeli pia wewe kama unajua unajua tu! Kama hujui hujui tu! Maswali ya utumishi yanapima uelewa sio kukariri! Angalia sehemu unapoenda kufanya kazi hiyo kama utafaulu au taasisi iliyokuita ina majukumu gani au inajishugulisha na nini kwenye eneo hilo! Soma hivyo tu! Usijichoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…