Nimeitwa oral interview Gaming board of Tanzania

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Mko poa wapambanaji wenzangu?

Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.

Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.

Kaeni karibu na simu zenu.

Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa tufaidi wote.
 
Mko poa wapambanaji wenzangu?
Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.
Kaeni karibu na simu zenu.
Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jama zinakuagaje stupid hapa tufaidi wote.
Nafasi ni ngapi?
 
Mko poa wapambanaji wenzangu?
Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.
Kaeni karibu na simu zenu.
Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa tufaidi wote.
Naomba kukuliza mnafanya lini hiyo Oral Interview? Nikupe ushauri.
 
Mko poa wapambanaji wenzangu?

Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.

Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.

Kaeni karibu na simu zenu.

Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa tufaidi wote.
Walipiga sm lini?
 
Interview ya kwanza ya written waliita kwa phone call pia? Maana niliiomba hiyo ila sikuwa maeneo ya network kuanzia January mpaka mid march
 
Daah basi nimeona niliitwa kwenye interview ila sikuliona tangazo la kuitwa,.. All the best kwa hiyo next stage
 
Wewe na mimi ni sawa. Sijui kwanini hawakuita walau kwa email
 
hivi hii taasisi sijui kwanini hawatoi list ya waliofaulu kuingia kwenye oral kwenye website yao kama wanavyoita stage ya written...wanaficha ficha tu😏
 
Back
Top Bottom