Nafasi ni ngapi?Mko poa wapambanaji wenzangu?
Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.
Kaeni karibu na simu zenu.
Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jama zinakuagaje stupid hapa tufaidi wote.
Mungu akutangulie
Naomba kukuliza mnafanya lini hiyo Oral Interview? Nikupe ushauri.Mko poa wapambanaji wenzangu?
Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.
Kaeni karibu na simu zenu.
Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa tufaidi wote.
Walipiga sm lini?Mko poa wapambanaji wenzangu?
Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii.
Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi.
Kaeni karibu na simu zenu.
Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa tufaidi wote.
Daah basi nimeona niliitwa kwenye interview ila sikuliona tangazo la kuitwa,.. All the best kwa hiyo next stageInterview ya kwanza ya written waliita kwa phone call pia? Maana niliiomba hiyo ila sikuwa maeneo ya network kuanzia January mpaka mid march
Wewe na mimi ni sawa. Sijui kwanini hawakuita walau kwa emailDaah basi nimeona niliitwa kwenye interview ila sikuliona tangazo la kuitwa,.. All the best kwa hiyo next stage
Mkuu oral ilikuaje?Shukrani