Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha.... 🤣🤣🤣🤣 Hilo neno umenichekesha sababu kuna mjomba wangu aliwahi nambia nafanya maamuzi yangu binafsi kibabe nayasimamia mpaka mwisho. Huwa napenda kueleza ukweli ulivyo.😂 in other side huo ndio uhalisia wa mambo, lkn upande mwingine piah, mkuu unaroho ya kibabe sana ✊😂😂😂shout out to you Joh... 😆 naomba Mungu anipe moyo kama huo kwenye kutafuta pesa lakini... 😄😄😄🙌
Kabisa aisee.... Watu tuambiane tu ukweli ili tupone.😀wanadamu hatuupendi ukweli.
Na ndo maana sikusema aachwe porini. Nli suggest akaombewe ili sasa kama ni mapenzi ya Mungu aendelee kuwepo kama si mapenzi basi awe Mwendazake.Kwa upande mmoja uko sahihi lakini haina maana kuwa mtu akishafikisha miaka 70 atafariki, kifo ni juu ya Mungu huwezi jua Mungu amempangia kuishi miaka mingapi angekubali kwenda kwenye maombi na kuwa na imani ingesaidia zaidi maana lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana.
Ndo hicho nachowaambia hiyo miaka inamtosha sana tena yup late 70sYou are very smart.
Ila Waafrika wengi kichwani ni zero.
Waache wauze ili waendelee kuwa mafukara. Miaka 70 bado mnataka kuuza assets ili akatibiwe!!!
😭😭😭😭 Kabisa.Wamekuonea kukuita shetani
Ndo swali la msingi sana hili.Issue sio kufika 100 je utakua productive katika huo umri kiasi cha kuteketeza urithi wa watoto wake.
"Mimi nlishawahi sema ugonjwa mwingine watu msilazimishe mtu aishi. Mnamchosha tu mtu mwenyewe ashakula chumvi sana tu.mwacheni ende. Mnamlazimisha kuishi mtu ana kansa, ana BP mnataka aishi kufanya nini?"
Mkuu upo sahihi tatizo watu kama nyie huwa katika jamii hampendwi na matokeo ndo huwa kipimo sahihi cha ushauri wenu.
Umenifurahisha sana ila kiuhalisia huo ndo ukweli.
Maisha ya ujamaa yamefanya wengi kuwa wanafiki na wale wa kuongea ukweili kuonekana hawana utu.
Nenda kalale chief
Sio ingekuwa baba yake ingekuwa ndio yeye? unaweza kuwa ushauri wako ulikuwa mzuri lakini kwa maandishi yako tu kuwa huyu mzee mchawi anataka nini basi kweli na ushetani. kawaida kama family mkiambiwa ni terminal ill hapo mnaweza ku by time kumpa huduma za msingi lakini kama kuna chance ya kupona mtu anahaki ya kutibiwa. ila kwa maneno yako kauli zako sio nzuri kama hutaki kuchanga usichange lakini usihukumu huyu afe tu sio sawa.Mkuu kwani ukifika 70 ndo unakaribia kufa?? Mbona watu wanafika mpaka 100
Ingekua babaako mzazi ndo anaumwa ungempa pia ushauri huo??
Mungu ndo anampangia kila mtu muda wa kuishi
Ni kweli Chizi Maarifa ana roho ya kishetani. Miaka 70 bado mdogo sana. Mie Mama Mkwe kadanja akiwa 130 kutokana na Baptismal Records zake.Wala iyo sio roho ya kishenani,