Nimeitwa tapeli na mdai madeni wakopeshaji wa mitandaoni

Nimeitwa tapeli na mdai madeni wakopeshaji wa mitandaoni

We umewaweza.boss. nimewaeleza ache kunitukana, mie naitwa ... Napatikana taasis fulani, idara fulani , alete malamiko yake hapo, ya kaendelea kuniita tapeli
Hawa kuwashitaki unapoteza muda.
App zao zina majina todauti na ya kampuni zao.
Simu za kupigia wateja wanazisajili kihuni.
Wakope halafu usiwalipe. Serikali yenyewe imeshindwa kuwatimua
 
Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini.

Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi kuniita tapeli. Nataka niwasiliane na mwanasheria nijue hii issue inawekwa vipi. Ndo hilo wakuu nipeni pole tafadhali. Ila huyo binti ntamkomesha.
Dawa yao kopa na wewe.....imgia mtiniii watakupata wapi ??huna shida ya laki wewe ? Unalia lia nini sasa?
 
Back
Top Bottom