Nashukuru kwa ushauri wako,but nisiwe mnafiki,ushauri wako sitaufanyia kazi kabisa!!!Mbona picha yako haipo hapo mkuu - natania tu!
Kwanza, kama huyo binti alikuwa na nia ya kukuua angeshafanya hivyo, ana nia nzuri tatizo anatumia njia mbaya!
Pili, nakusihi usimwambie chochote huyo mpenzi wako kwa sababu anakupenda sana kiasi hataki kukupoteza, utamfanya kushindwa kujiamini.
Tatu, mwoneshe jinsi unavyompenda na kumthamini.
Mwisho, mzamishe kwenye dini umbadilishe mtazamo wake wa kutumia ushirikina.
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Sababu?Nashukuru kwa ushauri wako,but nisiwe mnafiki,ushauri wako sitaufanyia kazi kabisa!!!
Sent from my CUBOT CHEETAH 2 using JamiiForums mobile app
Aisee huyu binti yupo jf?Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Shikamoo..i michii yuAisee huyu binti yupo jf?
Marahaba. Nimekutafuta sana. Sijui ulikuwa jukwaa ganiShikamoo..i michii yu
Nasikia jamaa alimrudia mshirikina wake, na sasa wana watoto 2, ila jamaa ndo anapelekeshwa kama zuzu...Any updates???
Mwanamke Alishamfunga kitambo jamaaNasikia jamaa alimrudia mshirikina wake, na sasa wana watoto 2, ila jamaa ndo anapelekeshwa kama zuzu...
Inasikitisha sana, jamaa hata kwao haendi tena baada ya wazazi wake kumtamkia kuwa hawamtaki huyo mwanamke anayeishi naye...kutokana na hilo jamaa kila anachopata anampelekea mkewe!Mwanamke Alishamfunga kitambo jamaa
Pole sana mkuuWana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Uchawi upo sanaaa kumbe!