Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

mkuu usiogope nimepitia makaratasi yako hapo juu lakini hiko kama ni kiarabu sio cha dunia hii binafsi kusoma kiarabu nakicharaza kiasi flani lakini hapo herufi nilizozipata si zaidi ya tatu na hata umpelee mwarabu kutoka muscat hawezi kujua maana yake kama kaenda kwa waganja wa mujini basi kapigwa lakini kama ni mganga kweli basi hicho sio kiarabu ni lugha za kijini hakuna wakukupa tafsiri labda mlozi ndiye atakusaidi.
 
Mbona picha yako haipo hapo mkuu - natania tu!

Kwanza, kama huyo binti alikuwa na nia ya kukuua angeshafanya hivyo, ana nia nzuri tatizo anatumia njia mbaya!

Pili, nakusihi usimwambie chochote huyo mpenzi wako kwa sababu anakupenda sana kiasi hataki kukupoteza, utamfanya kushindwa kujiamini.

Tatu, mwoneshe jinsi unavyompenda na kumthamini.

Mwisho, mzamishe kwenye dini umbadilishe mtazamo wake wa kutumia ushirikina.

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Nashukuru kwa ushauri wako,but nisiwe mnafiki,ushauri wako sitaufanyia kazi kabisa!!!

Sent from my CUBOT CHEETAH 2 using JamiiForums mobile app
 
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.

Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.

Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).

Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!

View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Aisee huyu binti yupo jf?
 
Uchawi katika mapenzi una nguvu kweli? Au ni maneno ya watu na imani zao?
 
Achana na maana ya hayo maneno ...cha kufanya we sepa huyo demu ako ni mshirikina sana huyo..
 
Mwanamke Alishamfunga kitambo jamaa
Inasikitisha sana, jamaa hata kwao haendi tena baada ya wazazi wake kumtamkia kuwa hawamtaki huyo mwanamke anayeishi naye...kutokana na hilo jamaa kila anachopata anampelekea mkewe!
 
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.

Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.

Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).

Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!

View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom