Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana mm sipendi kukagua pochi ya mwanamke...mzee umekuta mpk pu.mbu ya paka iliyokaushwa....subiri mshana aje kwny fani yake
ngoja niwasilishe maombi yako kwa jamaa yangu Al Mahfudh atanipa jibu sasa hivi ntakupa.... Miss Natafuta naomba uniloge japo kidogo tuu...😀 😛 😎Naomba tafsiri Mkuu kama unaijua,maana sielewi elewi nini hiki????
sio kiarabu hicho lugha za kijini hizo huwezi elewa hata kama unajua kiarabuAhsante Mkuu,lakini nataka kupata tafsiri ya kiswahili kwa maneno hayo,nijue maana halisi ya kilichoandikwa!!
Mtumie hizi picha mwambie baby mbona unasafirisha makinikia kwny pochi yakoSijawahi kuikagua,lakini amesafiri na akanambia nitafute ufunguo kwenye pochi,katika harakati za kutafuta funguo ndo nimekutana na hii kitu!!!
Niloge kwa mahaba, huo uchawi mwisho unabuma kama hivyoDUNIA INA MAMBO .NIMECHOKA UPWEKE NGOJA NA MIE NIKALOGE NAOMBA NAMBA YA MPENZI WAKO MKUU
Anakurogea ... Au umewekwa kwenye chupa huko kwa mganga wake wa kiarabuMaana kamili ya maneno hayo ni nini??
Ahsante sana Mkuu,walau umejibu kiu yangu,maana vitisho vimekuwa vingi sana!!!Inaonekana binti alikwenda kwa fundi labda kukutengeneza ila amekutana na findi tapeli kwa sie tunaejua lugha hii hapo hakuna neno la maana linaloweza kusomeka kwa ufupi naweza kusema fundi kajua huyo binti hajui hyo lugha so ndo maana kaamua kumdanganya
Hapo kaandika herufi tu za kiarabu ni sawa na wewe uandike z,x,c,v,t,y,w,a yaan ilimradi tu umuhadae mtu ila niamini mimi kuwa hakuna maana yeyote hapo na wala hakuna neno lolote la maana lililoandikwa hapo.
Hapa huwa ndo naamini maneno ya dada faiza foxy kuwa "wajinga ndo waliwao" hapo mwanamke wako kadanganywa
NOTE.
Huyo binti anaonekana ni mshirikina leo kapata fundi tapeli kesho aweza pata mkweli na akakutengeneza vizuri tu so kuwa makini sana.
Muombe Mola hakuna linalomshinda sisi waislam tunafundishwa kuwa uchawi upo ila usiuamini sana maana hutomuamini mola.
Muamini mola hakuna linalomshinda na tunafundishwa katika uislam kukaa mbali na shirki (ushirikina) na watu wake.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Accacia wangetumia hii hadi leo wangekuwa wanasafirisha makinikia bila wasiwasi
nyama iliyooza hiyo inayonukaNimefungua hicho kifungashio,nimekuta kuna baadhi ya vitu nisivyovijua,vina rangi nyeusi na vinatoa harufu ambayo nashindwa kuielezea but kama nyama ilivunda hivi,what is iiiit!!???
Naona umeongea kitalaam kama unatumiaga haya makinikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
najua kiarabu ndo maanaNaona umeongea kitalaam kama unatumiaga haya makinikia
Sio kuwa ulishapewa maelekezo hayo na kiti?!najua kiarabu ndo maana
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Mpaka hapo,sina tena imani naye,lakini nataka kujua nini hasa maana ya maandishi hayo????