Hahahaaa!!!sasa si ni jambo la kuzungumza tu,halihitaji njia nyeusi kama hizi,matokeo yake ndo kila kitu kimeharibika,analazimika kuanza mahusiano upya na mtu mpya,wakati huo huo amenirudiaha nyuma hatua nyingi sana katika swala zima la mahusiano,kwa sababu;
1.Nalazimika kutafuta mwanamke mwingine kwa ajili ya kutengeneza maisha.
2.Hata huyo ntakaye kuwa naye,anaweza kujikuta ktk wakati mgumu kwa sababu imani yangu itakuwa ndogo sana kwake,kutokana na jambo hili,(nilimuamini sana,hivyo moyo wangu utakuwa mzito sana kuamini mwanamke kwa namna yoyote)