Nimejambiwa live na wachawi leo

Nimejambiwa live na wachawi leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za leo wakuu.
Wazee uchawi upo asee. Dah nipo home na wife nikasikia bonge la mjambo kubabeki sasa ishu kuanza kulalamikiana nani kajamba.
Amekimbia faster chumbani nikajua anakwepa harufu na kunikwepa mimi kumbe alikimbilia pafyumu kwa ajili ya kupulizia.

Bana wewe nikajikuta na mimi namkimbilia nijuee labda kajamba yeye maana alikuwa ananituhumu. Cha kushangaza tumeingia chumbani harufu hakuna sasa kuanza kunusana bana hakuna kitu ndio tukaanza kushangaa kurudi sebuleni harufu bado ipo ya ukweli tena ilizidi upande niliokuwa nimekaa bana.

Baada ya hapo wife akasema itakuwa harufu inatoka nje. Kutoka nje kuhakikisha labda inatokea nje hakuna kitu pako safi kabisa.

Naomba kuuliza wazoefu je ilisha wahi kumtokea mtu?

Na je wana maana gani hawa au huyu mtu na nifanye nini kukomesha hii tabia maana hii si mara moja.

Mara nyingi inatokea hali hii mpaka inazua ugomvi wa nani kajamba. Nimeshtuka sana.
Acha kumtafuta mchawi, mchawi wako unaye hapohapo ndani...
 
Acheni ujinga, iteni gari la kunyonya kinyesi, karo lenu limejaa!
 
subili,sikunyingine itokee,ikitokea we muongeleshe Kama vile umemuona.hatarudia kuwaambia .huwa wanaacha wakigundua umemuona.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Nyumba yenu nyeupe, haina kinga, mnachezewa sana na wachawi. Kuna siku mtaamka na matope mguuni.
 
Back
Top Bottom