Nimejaribu kukaanga Chips sijafanikiwa sana, msaada jamani

"..zimeungua kidogo" Kk hiyo[emoji115] [emoji115] ndo "kidogo" yako!!! Dah [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahahahaha dah nimecheka sana mkuu!
Ukitaka chipsi kavu iliyokauka jitahidi kukata viazi vyembamba na sio manene manene na lazima ukadirie kila mkaango usizidi 20 au 15 min.
 
Duuu sasa mbona hizo zilizoungua ni ndefu hivyo au ni viazi ndizi!![emoji86] [emoji86]
 
Hiyo brew ulimaanisha nn,umeshaharibu mapishi sasa.
 
Hahahahhaha unapika huku umekaa ndani ehh..jiko unaacha nje..unadhan kupika lelemama lol
Ukiweka viazi kuwa jirani, ts the easiest food to cook

Njia nyingine
Kata viazi vyako tia chumvi kidogo Chemsha dk 5 zipoe,freeze alafu kaanga zikiwa za baridi
Sijawahi jaribu lakini hii..ni msomaji wa recipe sanaa
 
1. Acha kuchat au kufanya shughuli nyingine wakati unapika kama wewe si mpishi mzoefu unaeweza kukadiria muda na huna recipe.
Inachekeshaga sana mtu anaweka kitu jikoni afu anaenda ndani anaangalia TV au analala kabisa
Imagine kaacha maziwa, nyama au maharage
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kwa kuungua huko, jaribu kugoogle utapata majibu jinsi ya kupika chips.. kaa mbali na simu ukimaliza kugoogle ili usiunguze tena
 
Chipsi umepika moto mkali sana badala ya kuwiva vizuri zimebabuka Na kuukungua
 
Hii kweli imeungua kidogo. Aisee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chips giza.
 

Hapo ndio zimeungua kidogo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…