Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Naombaaaaaaaa!Ha ha ha ha ha za siku hizi zina duara
View attachment 389941
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombaaaaaaaa!Ha ha ha ha ha za siku hizi zina duara
View attachment 389941
Kuna wakati nilijaribu kupika mchemsho, kilichotokea KILIKUWA ni kichekesho.Heshima kweny wakuu,
Nimejitahidi kukaanga chips zikaungua kidogo. Sijajua nimekosea wapi, nlitaka nitoe Chips zilizokauka laini na tamu kama zile za pale kwa mdebwedo.
Naomba msaada;
Ni hatua gani zinapaswa kufuatwa ili itoke chips amizing? Naomba utaratibu wa kufuata ili wkend ijayo niitengeneze vizuri. Halafu wkend hii nina mgeni.
Msaada wakuu.
View attachment 389813
Hii nliyotengeneza imeungua kidogo.
Zinalika wakati ni makaukau hayo????jamani jamani.Si kweli. Mbona zilikika vizuri tu??
Zimebadilika rangi tu. Nifundishe basi. Yaani watu wawili tu ndo wamenisaidiaZinalika wakati ni makaukau hayo????jamani jamani.
Mia
Menya viazi vyako.....Zimebadilika rangi tu. Nifundishe basi. Yaani watu wawili tu ndo wamenisaidia
Nataka nijue. Hadi sasa mtu mmoja ndo kanisaidia. Wengine mnanizodoa na kunikosesha furaha hadi najiona sifai. Basi mmoja wenu ajitolee aje anifundishe live. Mi nipo Dar. Atakaye nifundisha ntampa zawadi nono.
Kwa oven unapikaje?. Asante sana..ungekuwa hujawahiwa yaani hii ni sifa moja tu. Pls..endelea kunipa maujanja. Manake wanawake wa siku hizi nasikia ukiwaoa kama hujui kupika utajuta. Sababu anapika akijisikia..sasa mimi nataka akija akute ni mzee wa mia hata kwenye mapishiMenya viazi vyako.....
Osha vizuri
Katakata mkato wa chips
Zikaushe maji
Nyunyuzia chumvi na blackpaper kidogo
Bandika mafuta....yakiwa tayari weka chips zako....
Zikianza kiwa brownish kwa mbali zigeuze ...baada ya sekunde 30 hadi 50 zitakuwa tayari
Unaweza ukalia na maini ya kukaanga au mayai au samaki wa kupaka au kavu kavu
Aidha kama hutumii mafuta unaweza zipika kwenye oven
Menya viazi vyako.....
Osha vizuri
Katakata mkato wa chips
Zikaushe maji
Nyunyuzia chumvi na blackpaper kidogo
Bandika mafuta....yakiwa tayari weka chips zako....
Zikianza kiwa brownish kwa mbali zigeuze ...baada ya sekunde 30 hadi 50 zitakuwa tayari
Unaweza ukalia na maini ya kukaanga au mayai au samaki wa kupaka au kavu kavu
Aidha kama hutumii mafuta unaweza zipika kwenye oven
Heshima kweny wakuu,
Nimejitahidi kukaanga chips zikaungua kidogo. Sijajua nimekosea wapi, nlitaka nitoe Chips zilizokauka laini na tamu kama zile za pale kwa mdebwedo.
Naomba msaada;
Ni hatua gani zinapaswa kufuatwa ili itoke chips amizing? Naomba utaratibu wa kufuata ili wkend ijayo niitengeneze vizuri. Halafu wkend hii nina mgeni.
Msaada wakuu.
View attachment 389813
Hii nliyotengeneza imeungua kidogo.
Hahahahaaa halafu ukute viazi vyenyewe vilikuwa kidogo ukajua utajazia maji....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Yaani ile unamaliza tu kupika mgeni wa saa saba ndo naibuka.....
na mkanda wa Nigeria kwenye mfuko.....
Hahahahaaa halafu ukute viazi vyenyewe vilikuwa kidogo ukajua utajazia maji....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
HahahaHiyo siku ndo wakwe wanaibuka from no where....
na ushasikia unaitwa 'mchoyo' ha haaa
Unataka kuoa kwa sababu umeshindwa kupika chips?Mkuu, sijafanikiwa kupata shemeji yako. Nipo kwenye mchakato. Nataka mwakani nioe eidha ndoa ya kanisani, mahakamani, mkeka, kimila au vyovyote vile, Muhimu lazima nioe aisee. hii imekuwa too much. Vipi wewe tayari?
Ndio mkuu. Ila kabla ya kuoa lazima nijue kupika. Wanasema chips ndo chakula rahisi kupika.Unataka kuoa kwa sababu umeshindwa kupika chips?
Wakati mwengine chips nzuri inategemea aina ya viazi ndio zinakauka kama ulivyokuwa unataka.
Viazi vyenye ganda la rangi ya kama kijani vya vinavyolimwa west kilimanjaro ni vizuri sana.
Ukichemsha mafuta usiaache ya kapata joto kupita kiasi.
Uliweka viazi mafuta yakiwa ya moto sanaMkuu, acha kunikatisha tamaa ya kujifunza kupika. Nmeomba ushauri, kama unaweza nifundishe. Hata hivyo haijaungua hiyo bali imebadiika rangi, nahisi ni kwa sababu ya mafuta yatakuwa yameungua.
1.Hakikisha mafuta yamepata moto kiasi kabla ya kuweka viazi vyako,Asante sana mkuu, ila mimi nataka vya kukaanga sio kuchemsha. halafu nataka vikauke. Asante, siku nyingine ntakuwa sichati.
Hiyo ya kuweka viazi kwenye freezer inasaidia nini au hiyo ya kusubiri dakika 10? Manake mimi hadi napika, maanake njaa inakuwa inauma. Sasa hapo si ntakuwa napoteza muda?
Mbona hapo zimeungua tayariHapana Mkuu, zimekaangwa. Nisingeziwahi zingeungua..tatizo hazitaki kukauka. Ukizikausha zinaungua