Nimejaribu kukaanga Chips sijafanikiwa sana, msaada jamani

Nimejaribu kukaanga Chips sijafanikiwa sana, msaada jamani

Mmmmh umechukua tu picha huko unakuja kutusanifu ata mtoto wa la 4 anajua kupika chipsi otherwise ulikua unafanya mengine ukaunguza
 
IMG-20160725-WA0027.jpg

Shem figganigga keki yako hiyo
 
Ndo taabu ya kujifunza ukubwani kupika hata ukielekezwa unahitaji mwalimu wa Memukwa kabisa..mzazi mfundishe mwanao kupika /kufua kuanzia yupo la 4 awe wa kike/kiume
 
Yaani huoshi sahani hadi uwe unataka kuitumia?... Ama kweli wanawake tuna kazi hapa duniani. Mkeo akiumwa siku tatu tunakuja kutoa Funza ndani
Hiyo gharama ya viazi, mafuta, muda ni kheri ungekwenda kupata chips za Mdebwedo!
 
Heshima kweny wakuu,

Nimejitahidi kukaanga chips zikaungua kidogo. Sijajua nimekosea wapi, nlitaka nitoe Chips zilizokauka laini na tamu kama zile za pale kwa mdebwedo.

Naomba msaada;

Ni hatua gani zinapaswa kufuatwa ili itoke chips amizing? Naomba utaratibu wa kufuata ili wkend ijayo niitengeneze vizuri. Halafu wkend hii nina mgeni.

Msaada wakuu.
View attachment 389813
Hii nliyotengeneza imeungua kidogo.
uliweka jikoni ukaenda kulala au?
 
Asante, kilichonichelewesha ni kumenya viazi na kuosha sahani. nlikuwa mbali kidogo. Asante kwa ushauri. Mwisho wa siku ntaomba mtu wa kujitolea aje kunifundisha hili pishi.
tena awe ke hapo utaona raha ya somo ila asiwe na makucha kama vibinti wa dar
 
tena awe ke hapo utaona raha ya somo ila asiwe na makucha kama vibinti wa dar
Nachukua watu wenye makucha na mawigi. Mawigi nlianza kuchukia nlipokuta nywele kwenye chakula. Kumbe mpishi alivaa wigi sijui la kushonea malinda. Sipendi hizi nywele na kama wa hivyo simhitaji. Bora niwe naunguza kila siku
 
Achana na chips wewe pika tu ugali
Nataka nijue. Hadi sasa mtu mmoja ndo kanisaidia. Wengine mnanizodoa na kunikosesha furaha hadi najiona sifai. Basi mmoja wenu ajitolee aje anifundishe live. Mi nipo Dar. Atakaye nifundisha ntampa zawadi nono.
 
Back
Top Bottom