Nimejaribu kukaanga Chips sijafanikiwa sana, msaada jamani

te
teh teh teh practice will make it perfect
 
ha hahahaa...Umekaanga chips au umechoma chips, Hizo zimeungua kabisa mkuu Mia
 
huo ni mkaa sio chips moto mwingi mafuta kidogo chips nyingi kweny karai lazima ziungue lazima ukadirie moto mafuta na kiaSi cha chips na muda zitakazo kaa jikon
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, acha kunikatisha tamaa ya kujifunza kupika. Nmeomba ushauri, kama unaweza nifundishe. Hata hivyo haijaungua hiyo bali imebadiika rangi, nahisi ni kwa sababu ya mafuta yatakuwa yameungua.
[emoji23] [emoji23]
 
Kuwa serious kwa kuunguza kwako hivyo lazima hiyo hali ikukute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…