Nimejaribu kupika tena keki

Nimejaribu kupika tena keki

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
160
Jamani kuna siku nililalamika keki zangu zilipasuka ovyo ovyo nilivyozitia kwenye mafut! Nikapata ushaur nipunguze sukari na baking powder leo nimepika hizi maoni yenu tafadhali nirekebishe nini
IMG_20190518_093915_017.jpeg
 
Hizi keki au half cake? Japo sijui hata kuzipika unaanzia wapi? Kwangu hizo za leo zinalika kuna ike kitu wanaita textual and Crispy wakati kutafuna, siyo kama keki ya birthday party
Yex der ni half cake sio cake!
 
Sema hizi keki zinanikumbusha enzi zangu shule asubuhi nilikua nanunua nakatia katia kwenye UJI niki mix na peanut bwana weee huko darasani amani teleeeee
 
Back
Top Bottom