Nimejaribu kupika tena keki

Nimejaribu kupika tena keki

Unga umekanda mgumu sana
Ndio yan zile zilizopita nilikanda unga mlauni zilinishinda hazikutoka vizur leo nikakanda mgumu ndo zimetok ivyo sema sikukandia mafuta
 
hizi za leo zipo vizuri zimesimama mguu sawa ila hazina uhakika,sijui zinataka kukimbilia wapi! Huko mdomoni vipi mama,tamu eeeeh
Ha ha ha ni nzur sema ukila meno lazima yaume uwez kula mbili sema sikutia baking soda naon inasaidiag kidog kulainish cake
 
Ha ha ha ni nzur sema ukila meno lazima yaume uwez kula mbili sema sikutia baking soda naon inasaidiag kidog kulainish cake
kwanini hukuweka sasa? ulisahau au ulitaka kujaribu pishi jipya uone zitakuaje? Usinambie bwana umepika popcorn za keki kwa ugumu huo,mimi zangu naomba nipondeee kwanza
 
kwanini hukuweka sasa? ulisahau au ulitaka kujaribu pishi jipya uone zitakuaje? Usinambie bwana umepika popcorn za keki kwa ugumu huo,mimi zangu naomba nipondeee kwanza
Ha ha ha zinalika lakini kumbe unawez kandia maji ya moto niliogopa kukandia si wanasem unga inabid uwe mgumu maji ya moto naona ka unga unga utakuwa mwepesi vile
 
Ha ha ha zinalika lakini kumbe unawez kandia maji ya moto niliogopa kukandia si wanasem unga inabid uwe mgumu maji ya moto naona ka unga unga utakuwa mwepesi vile
next time najua utatoa kitu Matata...nazisubiria kuziona
 
Kandia maji ya uvuguvugu,weka mafuta kiasi,baking powder kiasi na baking soda kiasi(hii ndio unatakiwa uipunguze kipimo maana ni kali)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati we unajua kula tu na kupika chai.
Mi nadili na end products..Nina mdomo/ulimi makini wenye kutambua ladha nzuri na mbaya..Ndo mana nasema ningezionja ningetoa maksi.
 
Kanavyotoa ushauri utasema kako vyedi kwenye mapishi..Pika ww tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipande hii niko njema kiasi dear, sio mtaalamu ila najitahidi kiasi. I love cooking[emoji6]
 
Back
Top Bottom