Nimejaribu kupika ugali bamia, maksi zenu machef

Nimejaribu kupika ugali bamia, maksi zenu machef

🙄🙄🙄 Ni muhimu mwanaume kujua kupika sio kila siku fast food au kupikiwa

Sijui kupika, na sioni umuhimu wowote.

Konachinishangaza ni thread za wanaume humu wanapost post wakiwa wamepika.

Ni ufala kupost hizo mambo.
 
Nimesema sijui na sina ninachopoteza.

Kinachonishangaza ni wanaume kupost post wakiwa wanapika.

I can understand kama ni kazi, ila siyo hizi za kupika home unapost humu.
Mtu hufanya kile anachopendezwa nacho na kwa kuwa humu kila mtu anao uhuru wa kuandika chochote pasi na kuvunja sheria basi ni halali kama wewe hupendezwi kuliko kupandisha sukari unapita mbali na vile unavyoshangazwa navyo mkuu
 
Na mimi nina haki ya kuandika chochote as long as sivunji sheria.

Acheni kufanya kazi za kina mama na kujisifu.
 
Back
Top Bottom