Nimejaribu kupika ugali bamia, maksi zenu machef

mkuu naona picha ya kwanza inaonekana vizuri umepanga size za videshee kwenye sahani hebu wademu waonyeshe wanapendaga size gani?


πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
 
Bamiaaa[emoji39] i hope kindimu kimesikika,
Hapo kungekua na vidagaa au samaki wa kukangaa, yummy yummy.

Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…