youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto kadhaa, Nimefungua kampuni ikafa.
Nataka nikusaidie ukianza safari yako ya kuwa na biashara au inaandaa kampuni yako hivi ni vitu muhimu kuvifanya mapema ili usirudie makosa kama ya kwangu.
Changamoto #1 ni kupata Wateja
Wateja wanavutiwa sana na mtu mwenye personal brand
Ni bora uanze kujenga personal brand yako mapema ili uaminike kabla hata ya kufungua biashara
Usipokuwa na personal brand basi jitahidi kuwa na social proof / testimonials hata kutoka kwa watu.
Changamoto #2 ni usimamizi wa pesa za ofisi na pesa zako binafsi
Kama wewe sio mtu wa kufuatilia vitu vyako kwa u-serious, achana na mambo ya biashara.
Unatakiwa uweze kufuatilia matumizi na kuwa na utaratibu wa kutumia.
Wewe ndo bosi, mhasibu, mfanyakazi, ni balaa
Changamoto #3 ni creativity:
Kutokana na kuwa na resources chache, itakacho kuokoa ni creativity yako.
Hautakiwi kuwa mbahili ila unatakiwa ujue mbinu za kibabe utakaotumia kwenye kazi zako.
Lazima mwanzo ulipie gharama za matangazo, kuandaa ofisi, kuvutia wateja, social media
Changamoto #4 ni competition
Competitors sio watu wa kuwaogopa inabidi wao wakuogope.
Wengi wao wana weaknesses kubwa.
Study them, learn from them, create a better value and sell to customers a better story kuliko wao.
Story telling, offer, Matangazo, branding, vitakusaidia
Changamoto #5 ni ukuaji (Scaling)
Usipokuwa makini,
Unaweza ukafika sehemu ukashindwa kuwamudu wateja wapya kutokana na changamoto za ukuaji (kila kitu unataka ufanye wewe)
Au ukizubaa unajikuta miaka mitano hakuna mabadiliko yoyote.
Haupigi hatua zozote (tumia watu)
Changamoto #6 ni kuwa na team
At some point utakuja kugundua biashara ni watu na team
Watu ulioanza nao huenda huko mbele sio watu sahihi kuendelea nao.
And yes, this might also be YOU.
Kuna muda utahitaji kupisha watu wenye uwezo mkubwa kuliko wewe, wakusaidie kazi.
Changamoto #7 ni time Management
Kama mwenye biashara, focus yako inatakiwa iwe kwenye revenue na growth.
Zile kazi ndogo ndogo wapatie vijana wazifanye.
Prioritize only important tasks. Ukiwa na biashara marafiki wanakukimbia automatic kwasababu hauna muda nao kabisa.
Changamoto #8 Legal and Regulatory Compliance
Unahitaji atleast kuwa na rafiki ambaye ana CPA na mwingine mwanasheria, uwe unawaomba free advice, unawazuga kwa soda na vocha.
Ni muhimu kuomba ushauri kwenye any legal issues.
Also kulipia vibali, leseni ni lazima.
Changamoto #9 risks and uncertainties
Ili kupunguza hili, siku zote kuwa tayari kujifunza new trends na uwe mwepesi kuongeza value.
Wateja wengi wanataka wakuone mpya kila siku
Wakiona kitu kipya sehemu nyingine na we huna.
Watakukimbia mapema.
Hakuna CUSTOMER LOYALTY!
Changamoto #10 unahitaji wateja ili kuishi
Wateja utawapata sehemu yoyote ila utatumia njia hizi tatu
👉Content
👉Outreach
👉Matangazo
Victoria Agency tutakusaidia kufanya hayo yote kwenye kampuni yako
Tuwasiliane hapa wa.me/+255693880325