Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Sir_Mimi,
Kuna mdau ka confirm hizo nyumba za room 3 zinaweza kujengwa hadi kwa zaidi ya milion 200 kutegemea na aina za mafundi, ramani na hata material unayotumia. Kuna situations nyingi kwenye ujenzi, mwingine anatumia mafundi anaofahamiana nao au ana uwezo mkubwa wa kufanya bargain au anajua chocho anazoweza kupata material kwa bei nafuu zaidi. Kuna swala la aina ya eneo ambalo linaamua idadi ya tofali zinazoingia kwenye foundation, ratio ya cement unayotumia, aina ya kokoto, idadi na ukubwa wa nondo ulizofunga kwenye bimu na litter. Sasa huwezi kulazimisha kila mmoja ajenge nyumba kwa chini ya 50m kisa wewe umefanikiwa kwa hilo, labda utoe tangazo humu kwamba unaweza kukamilisha nyumba ya room 3 katika hali yoyote ile kwa milioni 12 ili uweze kusaidia wengine wanaotamani kumiliki hizo nyumba ila hawana pesa za kutosha.
 
Kwa hiyo dawa ni kuwaambia vitu ambavyo havina uhalisia, kwamba unaweza kujenga nyumba kubwa ya kisasa ya vyumba 3 hapa Dar katika viwango vya ubora vinavyotakiwa kwa milion 12. Haya sawa, soma comment ya bujibuji yeye amejenga ghorofa Mbezi beach kwa milioni 12, hii ndiyo lugha laini tunayotakiwa kuwaeleza vijana ili wasikate tamaa katika kufikiria kuhusu ujenzi..nimekuelewa sana..Lakini unajua implication zake. Mtu atakurupuka kwenda kukopa milioni 12 akiamini zitamaliza kujenga nyumba kubwa ya room 3, matokeo yake nyumba itaishia kwenye msingi, benki watakata mkopo, kule alikopanga watadai kodi na atajikuta anahangaika kwa kuponzwa na story laini laini kuhusu ujenzi.
 
Vyumba vitatu mbao ulinunua sh ngapi? nakadilia mbao 160..bati za kawaida Simba dumu Ni laki tatu na zaidi kwa bando..vyumbavitatu Ni bando 5..kwa ufupi mbao na bati na misumali na fundi wa kuezeka(kupaua) Ni zaidi ya million 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..............Unaniwekea maneno mdomoni hakuna niliposema kwamba unaweza kumaliza nyumba ya vyumba vitatu kwa mil12 hata huyu aliyeleta mada yake hajasema kamaliza nyumba kwa bei hiyo!

Brother ninachokataa mimi ni kujenga boma kwa hela nyingi kama ulizotaja,finishing ndo inayoingia hela nyingi kwenye ujenzi na itategemea materials utakazoweka na kule utakakonunua mf:ukiingia kwenye Hardware za NABAKI gypsum board za Gyproc grade 1 kutoka Thailand wanauza 1 TSH 27,500/= wakati hiyo hiyo mtaani 18,000/= same kwenye tiles so tungekuwa tunabishana finishing saa hizi tusingekuwa hapa,kujenga boma hakuna complications nyingi.ushauri wangu kaa chini piga tena hesabu zako hizo gharama unazosema umetumia wewe umepigwa,kumbuka mimi nipo kwenye action naandika nachokijua.

Ila nitakuachia point tatu uchukue wewe kama hukuniwekea hata paa la nyumba yako iliyotumia gharama kubwa kiasi hiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bujibuji kuna wakati huamua kuchangamsha genge tu,sidhani akipita hata kijana anaetaka kuanza ujenzi atazingatia alichokiandika hapo.

Obviously haiwezekani inaeleweka hata kwa mtu asiyejua bei ya tofali!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Avha ushamba wewe,unadhani kila chumba kinajengwa kwa size uliyojenga wewe?kuna factors zinazotofautisha matumizi ya matofari kama UKUBWA WA CHUMBA na UKUBWA WA MADIRISHA,we unadhani watu wote wanajenga kwa size unayitaka wewe?kwani nyumba zinafanana size?Pimbi wewe.
Ndo useme chumba kimoja kinaingia matofali mangapi? Na pia sinazungumzia unajengea matofali ya nchi ngapi? Ukizingatia hizo ft ni standard kwa chumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekua mpole hapa mkuu hadi raha Yani Jamaa kakuminya kwenye angle Kali kweli sana

Nilijua utakuja hata na Picha ya bati tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF raha Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekua mpole hapa mkuu hadi raha Yani Jamaa kakuminya kwenye angle Kali kweli sana

Nilijua utakuja hata na Picha ya bati tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF raha Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 12 hata paa la nyumba yangu halijakamilika, akatafute wa kudanganya, na hapo nimepata bei ya ofa ya mabati kwenye kampuni inayoanza kazi nimesave milioni 4.
 
Kichwa maji bado unatapatapa, umeambiwa weka picha hata ya paa la nyumba yako...umebaki unajipiga vidole na kujinusa.
Jinga sana wewe[emoji41]
Milioni 12 hata paa la nyumba yangu halijakamilika, akatafute wa kudanganya, na hapo nimepata bei ya ofa ya mabati kwenye kampuni inayoanza kazi nimesave milioni 4.
 
Milioni 12 hata paa la nyumba yangu halijakamilika, akatafute wa kudanganya, na hapo nimepata bei ya ofa ya mabati kwenye kampuni inayoanza kazi nimesave milioni 4.
Brother!!!

Huu uzi nime-subscribe ili niuone uwongo wangu au wako na nitahitaji kuona picha ya paa la nyumba vyumba vitatu store jiko na sitting room lililo-cost mil15 achilia mbali boma kujengwa kwa mil35,kingine unazidi kunipa mashaka unaposema ume-save mil4 unataka kusema ilitakiwa ipauliwe kwa 19mill?

Nipo hapa nimejaribu kutoa ushuhuda wangu hapo juu sijui wewe utatumia njia hiyo au lah!pendekezo lako mkuu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Unalazimisha niweke paa la nyumba yangu, umenichangia hata senti kwenye ujenzi, basi kaa hapo usubiri maana naona unawashwawashwa, kumbuka hatufanyi mashindano humu...
 
Kichwa maji bado unatapatapa, umeambiwa weka picha hata ya paa la nyumba yako...umebaki unajipiga vidole na kujinusa.
Jinga sana wewe[emoji41]
Kapige picha ya paa la nyumba ya shemeji yako utuwekee humu, maana watu dizaini yako huna hata fikra ya kujenga choo
 
Sasa mkuu kwani ukisema mimi(wewe hapo) nimejenga vyumba vya futi 15 x 20 matofali yaliyoingia ni kiasi fulani..unapungukiwa kitu gani? Nyumba hazifanani ndo unatakiwa useme wewe hapo hizo nyumba zako tofauti umetumia matofali mangapi ili tuone..
 
Unalazimisha niweke paa la nyumba yangu, umenichangia hata senti kwenye ujenzi, basi kaa hapo usubiri maana naona unawashwawashwa, kumbuka hatufanyi mashindano humu...
................Sawa sawa brother ila usi-panic sana mpaka ukafikia kutoa kauli zisizofaa!

Mimi kwa upande wangu nahitimisha kwa kusema kwamba “wewe ni changamsha genge tu huna popote ulipoweka hata msingi wa nyumba so huna idea na masuala ya ujenzi ndo mana umeshindwa kutetea hoja zako kwa facts”

Nimemalizana na wewe,sitakurudia tena hapa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Who cares!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…