mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kweli hicho ni kibanda ili iwe nyumba ni zaidi ya 35 kwa ukubwa huo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo dawa ni kuwaambia vitu ambavyo havina uhalisia, kwamba unaweza kujenga nyumba kubwa ya kisasa ya vyumba 3 hapa Dar katika viwango vya ubora vinavyotakiwa kwa milion 12. Haya sawa, soma comment ya bujibuji yeye amejenga ghorofa Mbezi beach kwa milioni 12, hii ndiyo lugha laini tunayotakiwa kuwaeleza vijana ili wasikate tamaa katika kufikiria kuhusu ujenzi..nimekuelewa sana..Lakini unajua implication zake. Mtu atakurupuka kwenda kukopa milioni 12 akiamini zitamaliza kujenga nyumba kubwa ya room 3, matokeo yake nyumba itaishia kwenye msingi, benki watakata mkopo, kule alikopanga watadai kodi na atajikuta anahangaika kwa kuponzwa na story laini laini kuhusu ujenzi.Nyumisi fanya kama nilivyofanya hapo juu post #154 watu wapate idea wanaoamini kuna kujenga boma kwa mil50 nao waone hilo paa linalo-cost mil15 linavyofanana,wabongo sometimes tunapenda sana kukatishana tamaa kitu ambacho ni kibaya sana hasa kwa sisi vijana tunaohangaika kuinuka.
Tuepuke hilo siyo jambo zuri hata kama tunaandikia sifa tukumbuke madhara yake kwa wanaosoma maandiko yetu ila siyo kwa sababu tunapata likes basi tujiandikie tu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Vyumba vitatu mbao ulinunua sh ngapi? nakadilia mbao 160..bati za kawaida Simba dumu Ni laki tatu na zaidi kwa bando..vyumbavitatu Ni bando 5..kwa ufupi mbao na bati na misumali na fundi wa kuezeka(kupaua) Ni zaidi ya million 3.Sitaki kusema uongo wala kubishana na mtu.Kiwanja nilipewa (sijanunua)nikatumia Milion tatu kujenga msingi mpaka bati nyumba ya vyumba vitatu na sebule.
Nimetumia milioni mbili kumalizia finishing mpaka tiles.
Nimetumia milion moja kujenga choo nje na septic tank.nimeingia kibishi nikaweka umeme after two years
NB:Matofali nimefyatua mwenyewe,
*fundi nimempata mtaani nikampa ramani tu.Nilimlipa Milion moja na nusu vyote mpaka mtu wa kupaua alimleta mwenyewe.
*Septic nimechimbiwa kwa elf 70 na kujengea nimechajiwa laki moja jumla laki na 70.Iliobaki ni kuunganisha choo ndani na cha nje coz septic tank ni moja.
Kwa hiyo,milion 3 msingi +milion 2 finishing + milion moja septic na choo nje+hela ya fundi milion moja na nusu+ rough extra milion moja( usafiri na matumizi madogo madogo pale site) nikijumlisha na gharama za wiring mpaka kuingiza umeme na kisima nje nimetumia roughly milion kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
..............Unaniwekea maneno mdomoni hakuna niliposema kwamba unaweza kumaliza nyumba ya vyumba vitatu kwa mil12 hata huyu aliyeleta mada yake hajasema kamaliza nyumba kwa bei hiyo!Kuna mdau ka confirm hizo nyumba za room 3 zinaweza kujengwa hadi kwa zaidi ya milion 200 kutegemea na aina za mafundi, ramani na hata material unayotumia. Kuna situations nyingi kwenye ujenzi, mwingine anatumia mafundi anaofahamiana nao au ana uwezo mkubwa wa kufanya bargain au anajua chocho anazoweza kupata material kwa bei nafuu zaidi. Kuna swala la aina ya eneo ambalo linaamua idadi ya tofali zinazoingia kwenye foundation, ratio ya cement unayotumia, aina ya kokoto, idadi na ukubwa wa nondo ulizofunga kwenye bimu na litter. Sasa huwezi kulazimisha kila mmoja ajenge nyumba kwa chini ya 50m kisa wewe umefanikiwa kwa hilo, labda utoe tangazo humu kwamba unaweza kukamilisha nyumba ya room 3 katika hali yoyote ile kwa milioni 12 ili uweze kusaidia wengine wanaotamani kumiliki hizo nyumba ila hawana pesa za kutosha.
Bujibuji kuna wakati huamua kuchangamsha genge tu,sidhani akipita hata kijana anaetaka kuanza ujenzi atazingatia alichokiandika hapo.Kwa hiyo dawa ni kuwaambia vitu ambavyo havina uhalisia, kwamba unaweza kujenga nyumba kubwa ya kisasa ya vyumba 3 hapa Dar katika viwango vya ubora vinavyotakiwa kwa milion 12. Haya sawa, soma comment ya bujibuji yeye amejenga ghorofa Mbezi beach kwa milioni 12, hii ndiyo lugha laini tunayotakiwa kuwaeleza vijana ili wasikate tamaa katika kufikiria kuhusu ujenzi..nimekuelewa sana..Lakini unajua implication zake. Mtu atakurupuka kwenda kukopa milioni 12 akiamini zitamaliza kujenga nyumba kubwa ya room 3, matokeo yake nyumba itaishia kwenye msingi, benki watakata mkopo, kule alikopanga watadai kodi na atajikuta anahangaika kwa kuponzwa na story laini laini kuhusu ujenzi.
Kila mtu anajikuta mwamba,watu wanabuni na kuandika vitu vya ajabu kabisa hapa.Kwenye mada kama hizi JF usitegemee kukuta mtu ambaye hajajenga....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndo useme chumba kimoja kinaingia matofali mangapi? Na pia sinazungumzia unajengea matofali ya nchi ngapi? Ukizingatia hizo ft ni standard kwa chumba
Umekua mpole hapa mkuu hadi raha Yani Jamaa kakuminya kwenye angle Kali kweli sanaKuna mdau ka confirm hizo nyumba za room 3 zinaweza kujengwa hadi kwa zaidi ya milion 200 kutegemea na aina za mafundi, ramani na hata material unayotumia. Kuna situations nyingi kwenye ujenzi, mwingine anatumia mafundi anaofahamiana nao au ana uwezo mkubwa wa kufanya bargain au anajua chocho anazoweza kupata material kwa bei nafuu zaidi. Kuna swala la aina ya eneo ambalo linaamua idadi ya tofali zinazoingia kwenye foundation, ratio ya cement unayotumia, aina ya kokoto, idadi na ukubwa wa nondo ulizofunga kwenye bimu na litter. Sasa huwezi kulazimisha kila mmoja ajenge nyumba kwa chini ya 50m kisa wewe umefanikiwa kwa hilo, labda utoe tangazo humu kwamba unaweza kukamilisha nyumba ya room 3 katika hali yoyote ile kwa milioni 12 ili uweze kusaidia wengine wanaotamani kumiliki hizo nyumba ila hawana pesa za kutosha.
Milioni 12 hata paa la nyumba yangu halijakamilika, akatafute wa kudanganya, na hapo nimepata bei ya ofa ya mabati kwenye kampuni inayoanza kazi nimesave milioni 4.Umekua mpole hapa mkuu hadi raha Yani Jamaa kakuminya kwenye angle Kali kweli sana
Nilijua utakuja hata na Picha ya bati tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF raha Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 12 hata paa la nyumba yangu halijakamilika, akatafute wa kudanganya, na hapo nimepata bei ya ofa ya mabati kwenye kampuni inayoanza kazi nimesave milioni 4.
Brother!!!Milioni 12 hata paa la nyumba yangu halijakamilika, akatafute wa kudanganya, na hapo nimepata bei ya ofa ya mabati kwenye kampuni inayoanza kazi nimesave milioni 4.
Unalazimisha niweke paa la nyumba yangu, umenichangia hata senti kwenye ujenzi, basi kaa hapo usubiri maana naona unawashwawashwa, kumbuka hatufanyi mashindano humu...Brother!!!
Huu uzi nime-subscribe ili niuone uwongo wangu au wako na nitahitaji kuona picha ya paa la nyumba vyumba vitatu store jiko na sitting room lililo-cost mil15 achilia mbali boma kujengwa kwa mil35,kingine unazidi kunipa mashaka unaposema ume-save mil4 unataka kusema ilitakiwa ipauliwe kwa 19mill?
Nipo hapa nimejaribu kutoa ushuhuda wangu hapo juu sijui wewe utatumia njia hiyo au lah!pendekezo lako mkuu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kapige picha ya paa la nyumba ya shemeji yako utuwekee humu, maana watu dizaini yako huna hata fikra ya kujenga chooKichwa maji bado unatapatapa, umeambiwa weka picha hata ya paa la nyumba yako...umebaki unajipiga vidole na kujinusa.
Jinga sana wewe[emoji41]
Sasa mkuu kwani ukisema mimi(wewe hapo) nimejenga vyumba vya futi 15 x 20 matofali yaliyoingia ni kiasi fulani..unapungukiwa kitu gani? Nyumba hazifanani ndo unatakiwa useme wewe hapo hizo nyumba zako tofauti umetumia matofali mangapi ili tuone..Avha ushamba wewe,unadhani kila chumba kinajengwa kwa size uliyojenga wewe?kuna factors zinazotofautisha matumizi ya matofari kama UKUBWA WA CHUMBA na UKUBWA WA MADIRISHA,we unadhani watu wote wanajenga kwa size unayitaka wewe?kwani nyumba zinafanana size?Pimbi wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
................Sawa sawa brother ila usi-panic sana mpaka ukafikia kutoa kauli zisizofaa!Unalazimisha niweke paa la nyumba yangu, umenichangia hata senti kwenye ujenzi, basi kaa hapo usubiri maana naona unawashwawashwa, kumbuka hatufanyi mashindano humu...
Who cares!................Sawa sawa brother ila usi-panic sana mpaka ukafikia kutoa kauli zisizofaa!
Mimi kwa upande wangu nahitimisha kwa kusema kwamba “wewe ni changamsha genge tu huna popote ulipoweka hata msingi wa nyumba so huna idea na masuala ya ujenzi ndo mana umeshindwa kutetea hoja zako kwa facts”
Nimemalizana na wewe,sitakurudia tena hapa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni ninyi sio nyinyiMbona mnaowasahihisha wenzenu na nyinyi mnakosea.