Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

We Zoba, mbona hujui kuwa unapaua na mbao? Na hujui kuwa kuna nondo, wala hujui kuwa kuna mchanga, kokoto, misumari, grills kama boya mwenzio alivyosema "drill"na mengineyo?
Wewe ni kula kulala Zomboko wewe, hujui hata mahitaji
Muhimu ya ujenzi.
Nyumba gani inajengea na fundi mmoja kwenye uashi na useremala,ndiyo maana nasema munajenga mabanda ya kitimoto mukiita nyumba,koro mkubwa wewe.
acha upuuzi..tofali inunue tsh 2000 moja room 2 zipe tofali 2000...jenga na cement ya 1m weka bati za m2 fundi mpe 2m=sawa na m5...m2 mchnga sawa na m7
 
sasa nondo ya vyumba viwili unataka iwe sh ngapi?nnondo nne tu... dirisha la grill halizidi laki vyumba viwili vina madirisha mangapi?..we ni **** kama **** nyingine utakuta hata huna lolote bora mi kula kulala nakula kodi we bado unalipia kodi...unachojua tu ni kutukana hata angesema drill nini hujaelewa...yaani wabongo hawaangalii ufahamu wanaangalia makosa..yaani we ni mavi ya kuku...
 
Waache wasubiri wapate 150milions ndo wajenge nyumba ya vyumba viwili na sebule! Mana hata 50m haitoshi
 
Kwani kila nyumba inatumia 15m kwenye paa tu? Ndo mana hadhi na thamani ya nyumba zinatofautina. Wengine hiyo 15m kajumba kamekamilika na anahamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…