Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Gharama za ujenzi hutegemea na chaguo ya material. Rafiki yangu kuezeka pekee alitumia 20million,bati za vigae gauge 28 210pcs,kofia 42,valley 32 na misumari packet 50. Mbao 2*3 PC 510, 2*4 pcs 490 na misumari 4bags za kilo hamsini kila mmoja. Ukubwa wa nyumba vyumba vinne, vitatu ni self, master moja yenye dressing room, study room na jiko kubwa
 
Nyumba kubwa mno. Watoto wakiolewa na kuoa wote aratamani ahame
 
Bro umeandika na hasira sana😂😂😂😂😂😂😂😂
 
u]Umewahi kujenga au unatuma watu wakujengee ?
Ninajenga yenye vigezo kama hivyo hapo Kyela kwenu imekula zaidi ya 19mill...bado hata wiring.
...nafikiri azingatie hilo ulilomuulize..."unatuma watu wakusimamie ?"...pengine itamsaidia ila hii ya kutuma mtu wanapiga hata kama ni ndugu
 
Nyumba kubwa mno. Watoto wakiolewa na kuoa wote aratamani ahame
Ila wabongo bana. That’s all you have seen? Hujaona juhudi, kujitoa nk? Mpongeze. Sema kijana umepambana. Ila wewe umeona nyumba kubwa mno…duh😂😂😂😂😂
 
Ila wabongo bana. That’s all you have seen? Hujaona juhudi, kujitoa nk? Mpongeze. Sema kijana umepambana. Ila wewe umeona nyumba kubwa mno…duh😂😂😂😂😂
Wapi nimemsimanga mkuu. Usiniwekee maneno
 
Sio tu watoto lakini pia nimeshangaa kuona nyumba imakula mbao 900 !!, Unaweza kukuta hata amani hawana ndani ya hilo lijumba
Ni kweli nyumba ni kubwa. Tunaishi mara moja acha ajenge kinachofurahisha moyo wake.
 
Nimekabidhi boma pende za chanika.sitting,bedroom,master,toilet public,dining and kitchen hesabu zake zipo hapo chini.
HESABU ZILIZOTUMIKA.
1)tofali 2400×1000=2,400,000
2)cement 45×16,500=742,500
3)nondo 31×22,000=682,000
4)kokoto 500,000
5)mchanga 400,000
6)mbao za kukodi 30×2000=60,000
7)mbao za kukatakata 10×13,000=130,000
8)mbao sahani nch5. 12×6000=72,000
9)misumari kg 15×4000=60,000
10)mbao 2by2 6×3000=18,000
11)mirunda 15×4000=60,000
12)ring beem 100×500=50,000
13)bydingwire 20,000
14)kifusi 350,000
Jumla 5,544,500
Namba ya fundi 0782962123


Nimekopy sehemu
 
NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA.

LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO.
NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI.
MCHANGA UKO HAPO HAPO
TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750
MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA
KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5

Square mita 300
Bado sijapata mteja sahihi.
NATAKA MIL. 1.5

0685223804
 
Hukapoteza Mkuu ila ndio kwanza umeziokota stress kiongozi. Hapo unatakiwa uwe na milioni kadhaa 5+ tena ili ukae sawa.

Mimi nimeanza ujenzi wa kanyumba kangu ka kataa ndoa kwa bajeti ya milion 6. Ila chumba 1, sebule ina open kitchen na dinning ndogo. Na hapa naona inaweza ongezeka 1M ya ziada.
 
Hesabu hii imenipa picha fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…