stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Wamebakia wa kupapasa sana...Wanawake wa aina hii nilijua wamemalizwa na Elnino kumbe bado mpo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamebakia wa kupapasa sana...Wanawake wa aina hii nilijua wamemalizwa na Elnino kumbe bado mpo?
Kabisa maana kuna choo hadi million 4finishing utakayofanya ndio itapanga bei ya nyumba yako.
Gharama za ujenzi hutegemea na chaguo ya material. Rafiki yangu kuezeka pekee alitumia 20million,bati za vigae gauge 28 210pcs,kofia 42,valley 32 na misumari packet 50. Mbao 2*3 PC 510, 2*4 pcs 490 na misumari 4bags za kilo hamsini kila mmoja. Ukubwa wa nyumba vyumba vinne, vitatu ni self, master moja yenye dressing room, study room na jiko kubwaMtu ambae hajawahi kufanya ujenzi wa nyumba kubwa ukimwambia hivi atakuelewa,hakuna namna nyumba yenye master bedroom,vyumba viwili vya kulala jiko na store ikatumia 50 mill huku hujapiga hata plaster,pale juu ulisema paa tu limekula 15mill.....
Well,kwa hiyo wewe boma tu umejenga kwa 35millions?nyumba gani ya hivyo brother!ndo maana pale juu nikakwambia kupitia wewe yupo mtu anajiandaa kuhamia kwake huku ukijisifu kujenga boma lenye paa tu kwa hela ambayo wenzako kwa hela hiyo hiyo wanajenga 75% ya ujenzi wa nyumba kubwa na yenye viwango vyote.
Kingine mtu anaposema ana kibanda hamaanishi kama cha kuku,ni aina tu wabongo tumezoea kuwakilisha tunapozungumzia nyumba zetu ili kuondoa kuonekana tunaringa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Nyumba kubwa mno. Watoto wakiolewa na kuoa wote aratamani ahameGharama za ujenzi hutegemea na chaguo ya material. Rafiki yangu kuezeka pekee alitumia 20million,bati za vigae gauge 28 210pcs,kofia 42,valley 32 na misumari packet 50. Mbao 2*3 PC 510, 2*4 pcs 490 na misumari 4bags za kilo hamsini kila mmoja. Ukubwa wa nyumba vyumba vinne, vitatu ni self, master moja yenye dressing room, study room na jiko kubwa
Bro umeandika na hasira sana😂😂😂😂😂😂😂😂Ninyi vijana wa mjini kujifanya kujua kwingi ndio maana kila siku mnamaliza mtaa kwenye nyumba za kupanga,miezi sita tabata,inayofuata sinza,kimara hamjengi.
Wakati mwingine mkija mikoani mnaona aibu kwakuwakuta vijana wa umri chini yenu wapo kwenye nyumba zao na maisha yanasonga.
Hii ni kwasababu ya kujifanya wajuaji wakati kiuhalisia haimna isue kazi kuzurula na vibegi mjini hamna dira yoyote.
Ujenzi kama utausimamia mwenyewe na ukajua namna sahihi yakukwepa gharama utatumia pesa yakawaida.
Sio mbaya ninyi endeleeni kugombania na kujisifia kupanga nyumba za wenzenu zenye tiles nzuri,aluminium,uzio na ma geti mpaka mstuke mvi kichwani.
Ninajenga yenye vigezo kama hivyo hapo Kyela kwenu imekula zaidi ya 19mill...bado hata wiring.u]Umewahi kujenga au unatuma watu wakujengee ?
Ila wabongo bana. That’s all you have seen? Hujaona juhudi, kujitoa nk? Mpongeze. Sema kijana umepambana. Ila wewe umeona nyumba kubwa mno…duh😂😂😂😂😂Nyumba kubwa mno. Watoto wakiolewa na kuoa wote aratamani ahame
Wapi nimemsimanga mkuu. Usiniwekee manenoIla wabongo bana. That’s all you have seen? Hujaona juhudi, kujitoa nk? Mpongeze. Sema kijana umepambana. Ila wewe umeona nyumba kubwa mno…duh😂😂😂😂😂
Sio tu watoto lakini pia nimeshangaa kuona nyumba imakula mbao 900 !!, Unaweza kukuta hata amani hawana ndani ya hilo lijumbaNyumba kubwa mno. Watoto wakiolewa na kuoa wote aratamani ahame
Ni kweli nyumba ni kubwa. Tunaishi mara moja acha ajenge kinachofurahisha moyo wake.Sio tu watoto lakini pia nimeshangaa kuona nyumba imakula mbao 900 !!, Unaweza kukuta hata amani hawana ndani ya hilo lijumba
Hukapoteza Mkuu ila ndio kwanza umeziokota stress kiongozi. Hapo unatakiwa uwe na milioni kadhaa 5+ tena ili ukae sawa.Kama somo linavyojielewa hapo juu
Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill) tayari. Lakini kitu kinachoniuma sijapiga hesabu vizuri.
Nilitegemea kibanda japo niwe nimehamia.
Floor bado, blandaring, je sijapoteza?
Asante sana
Hesabu hii imenipa picha fulaniNimekabidhi boma pende za chanika.sitting,bedroom,master,toilet public,dining and kitchen hesabu zake zipo hapo chini.
HESABU ZILIZOTUMIKA.
1)tofali 2400×1000=2,400,000
2)cement 45×16,500=742,500
3)nondo 31×22,000=682,000
4)kokoto 500,000
5)mchanga 400,000
6)mbao za kukodi 30×2000=60,000
7)mbao za kukatakata 10×13,000=130,000
8)mbao sahani nch5. 12×6000=72,000
9)misumari kg 15×4000=60,000
10)mbao 2by2 6×3000=18,000
11)mirunda 15×4000=60,000
12)ring beem 100×500=50,000
13)bydingwire 20,000
14)kifusi 350,000
Jumla 5,544,500
Namba ya fundi 0782962123
Nimekopy sehemu